Mkuu laki kwako ndogo, si unajua tena mambo ya point of view?Malalamiko kama yote, lkn utakuta hata laki haijafika, eb tulia mkuu alaf uandike vzr usiwe na panic ya kuchunwa bila kupewa bumunda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kusema ukweli sisi wanaume kabla ya kupewa mzigo hua tunakua wavumilivu sana yaani tunakua wapolee kama sio sisi ila tukisha kula mzigo sasa ndio rangi zetu zinaanza kuonekana yaani ni kuwasomesha namba kimya kimya.
Maendeleo hayana chama
Nimeshindwa labda nipe summaryUsipaniki mkuu wangu, soma tena taratibu
Nimeshindwa labda nipe summary
Aaah kumbe unapesa bandia naww unauziwa chain ya bandia......Basi ngoma drooUmekutakana na mdada, unataka kumla usepe. Na yeye anataka kukusogezea shida zake upambane nazo kisha asepe. Unapambana na shida ukitegemea akikupa unasepa. Ila shida zake zinakuzidi hujapewa, unalazimika kusepa. Na hapo?
Kwa hiyo mkeo hana mishe yupo tu?Namaanisha hivi, siku nyingine nikisafiri nasafiri na mke wangu!
na sasa vimezidi....
ndio 44kj[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani