Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,952
- 10,593
Unamshauri shigongo au shabaan RobertMkuu ukitaka kurefresh mind, andika riwaya yoyote hata ya page kumi tu.
Utashangaa.
Unamshauri shigongo au shabaan RobertMkuu ukitaka kurefresh mind, andika riwaya yoyote hata ya page kumi tu.
Utashangaa.
DuuuhUnaweza kudhani akili imechoka, kumbe akili yenyewe hata hauna!
Kuna mademu wanavuta ganja, nenda arusha uone maajabuKhaaa bangi wanavuta wanaume mkuu mimi ni ke



Tatizo mahndsome wamekua adimu kweli yaan sikuhiz
Ningekua sijapata kababy, basi ningejisogeza
Shida inaanzia hapoUnaweza kudhani akili imechoka, kumbe akili yenyewe hata hauna!
Shida inaanzia hapoUnaweza kudhani akili imechoka, kumbe akili yenyewe hata hauna!
Ngoja namie nijaribu na Nana wangu hapanamwita Swalehe tunawasha ps4
tunacheza fifa 20 tunaenda kula tunalala![]()
Duh! BalaaKuna mademu wanavuta ganja, nenda arusha uone maajabu![]()
Upuuzi huuYuko kwenye siku zake labda!
Duh preta upo, aisehhh ulipotelea wapiKaribu Yaeda......ukiona umechoka unaenda porini kurina asali.......
asje kukufunga kama wanguNgoja namie nijaribu na Nana wangu hapa

Duh preta upo, aisehhh ulipotelea wapi
Haaahaaquick and simply method kama unataka kuchangamsha akili,,,kashushe bendera kituo cha polisi jirani
Tuonane kama vipi Archuga, tukipata nafasi... Hongera kwa uzimaKuwa mjumbe kunasabaisha mtu kuwa busy sana......Ila sasa nimetulia.......
Tuonane kama vipi Archuga, tukipata nafasi... Hongera kwa uzima
Okey i expect to see you soonerAsante na Karibu sana Chugga........
Ninahudhuria kikao kimoja Bashnet........nikirejea tu nakujulisha.......
Shukrani sana japo sikulengwa hasa ila nimepitia nimekutana na mengi yamenipa mwanga sana. UbarikiweHivi guys, hii hali huwa inasababishwa na nini?
Pitia hapa kuna some things uta learn been there too, Pole sana.!!