Namna bora ya kurefresh akili

Tafuta demu wale tunawaita churamaji sio wasomisomi huwa wanakuwaga romantic muda wote ukimtaka anakuja kukupa Company munacheki movie, games, story, kuzunguka nk kitu kizuri wanachatisha sanaa mpaka huwezi kuwa Idle yaani.
 
Yaani inafika wakati akili imechoka kabisa huna jipya unaloweza kufikiria, unajikuta huna hela ya kujitoa hata out na wa kuongea naye hauna. Unafanyaje ili kurudi kwenye hali yako ya kawaida!?

Yaani akili inakuwa kama imefunikwa na blancket hivi. Sijui unakuwa umepachoka unapoishi?
Mimi nikiwa sina hela
Ni KULALA na KUKAA MLIMA NAANGALIA SUN SET
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom