Ndio wapi mkuuKaribu Yaeda......ukiona umechoka unaenda porini kurina asali.......
Acha ukilaza bas..jikaze kidogo uonekane unaweza kutoa ushauriIle unechoka zako ukajisemea moyoni NGOJA NIPUMZISHE AKILI KIDOGO, Maskini weee kumbe hata akili zenyewe huna!!!![]()
Halafu kweli hii inaweza kuwa sababu maana dah zimejaa na zenyewe balaaKama una mpenzi muite mraruane alafu ukimaliza pumzika
Ndo wap mkuu
Si ndo Hana helaKunywa bia
Huna hela na zitajaaje😅🤣Halafu kweli hii inaeza kuwa sababu mana dah zimejaa na zenyewe balaa
Nakuelewa unachosemaYaani inafika wakati akili imechoka kabisa huna jipya unaloweza kufikiria unajikuta huna hela ya kujitoa hata out na wakuongea naye hauna. Unafanyaje ili kurudi kwenye hali yako ya kawaida!?
Yaani akili inakuwa kama imefunikwa na blancket hivi. Sijui unakuwa umepachoka unapoishi?
Akili ikiwa imechoka huwa napendelea kwenda hotel zenye ghorofa nyingi nakaa upande Balcony naagiza bia moja au mbili, nikiwa naangalia ile view kwa chini huwa narelax mnooo... nikimaliza bia nashuka zangu narudi home nalalaYaani inafika wakati akili imechoka kabisa huna jipya unaloweza kufikiria unajikuta huna hela ya kujitoa hata out na wakuongea naye hauna. Unafanyaje ili kurudi kwenye hali yako ya kawaida!?
Yaani akili inakuwa kama imefunikwa na blancket hivi. Sijui unakuwa umepachoka unapoishi?
Ukirudi kwako unakua mpya?Akili ikiwa imechoka huwa napendelea kwenda hotel zenye ghorofa nyingi nakaa upande Balcony naagiza bia moja au mbili, nikiwa naangalia ile view kwa chini huwa narelax mnooo...nikimaliza bia nashuka zangu narudi home nalala
Ngoja nisome asante!Hivi guys, hii hali huwa inasababishwa na nini?
Pitia hapa kuna some things uta learn been there too, Pole sana.!!
Ikitokea hali hiyo, vaa raba au viatu vyepesi, toka nyumbani kwako tembea kwa miguu kwa muda kama lisaa au zaidi then rudi nyumbani, akili itakuwa refreshedYaani inafika wakati akili imechoka kabisa huna jipya unaloweza kufikiria unajikuta huna hela ya kujitoa hata out na wakuongea naye hauna. Unafanyaje ili kurudi kwenye hali yako ya kawaida!?
Yaani akili inakuwa kama imefunikwa na blancket hivi. Sijui unakuwa umepachoka unapoishi?
Haaaa ni ke mkuuSorry kumbe ni keNalog off
Haaaahaaa unanipeleka kwenye presha wewe..lima matikiti ruvu, akili itachangamka sana chifu
Zimejaa mkuu..sijui kwakua mie ke?haaHuna hela na zitajaaje![]()