Namna bora ya kurefresh akili

Yaani inafika wakati akili imechoka kabisa huna jipya unaloweza kufikiria unajikuta huna hela ya kujitoa hata out na wakuongea naye hauna. Unafanyaje ili kurudi kwenye hali yako ya kawaida!?

Yaani akili inakuwa kama imefunikwa na blancket hivi. Sijui unakuwa umepachoka unapoishi?
Muziki na a little drink
 
Au tafuta baby mkali kaa nae atakupunguzia stress
 
Ukipachoka unapoishi kama umepanga fanya mpango uhame, kama ni kwako na pesa ushasema huna pambana na mazingira kwa namna ingine;Jipee shughuli mbalimbali ambazo hazitakufanya ukawa idle muda mwingi, lima bustani, panda maua ilimradi uwe na shughuli na uyaepuke mawazo. Tembelea hata marafiki ubadilishane nao mawazo. ITASAIDIA.
Bustan inatoka wapi kama anapanga, nauli ya daladala hana, kila rafiki akipigiwa simu anasema yuko viwanja
 
Back
Top Bottom