Namna bora ya kukata roho

Mshana nipo China kwa sasa, nitaishi huku miaka mitatu, naweza kupata sehemu ya kufundishwa hayo mambo unayoyajua?
Maana huku naona karibu kila kitu ukitaka unapata.
Inaitwaje/ niulizeje nijiunge hata kwa kulipia
Elimu yako imekuongezea hekima nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi kabisa huko soma Taoisim, Confucius au Analects

Jr[emoji769]
 
mshana jr kuna kisa nimekutana nacho siku chache zilizopita kuna mzee aligoma kufa ikafika hatua wakawa wanamuombea afe...yaani yuko kitandani muda mrefu..wakimpeleka hospital wanaambiwa mrudisheni tu nyumbani..

Kilichonishangaza ni kwamba eti hawa wazee wa zamani kuna vitu walikua wanameza ambavyo vinawafanya hii process unayoizungumzia hapa kuwa ngumu kwao..hii imekaaje..
 
Nami ntatoa ushuhuda wa meditation hii kitu ni kweli aisee ila sio hii ya mshana jr, hii inatisha
 

Duuuuhh katika siku ambazo hujaeleweka na SIJAKUELEWA KABISA ni leo,


1. kumsaidiaje? kuifukuzia roho irudi? kuikamata? napata maswali mengi yasiyo na majibu kabisaa, HOW?
2. Kama ndi hivyo hata roho ya TAL unaweza kuiona saiv inafanyaje
yaana yanakuja maswali mengi yasiyo na majibu

Muhubiri 8:8
8 Hakuna mwenye uwezo juu ya roho aizuie roho;
Wala hana mamlaka juu ya siku ya kufa;
Wala hakuna kuruhusiwa katika vita vile;
Wala uovu hautamwokoa yule aliyeuzoea.
 
Kwa mujibu wa biblia mtu anapokufa anarudi ktk hali aliyokuwa nayo ya kutojifahamu kabla hajazaliwa hadi atakapofufuliwa tena kwa ajili ya hukumu ndipo atakapopata tena fahamu

Hapo napingana na wewe Kabisa, Nioneshe hilo andiko, navyojua na kuelewa mtu akifa anakua na fahamu zake zilezile tena zinakua MORE ACTIVE kuliko alivyokua, tena anajua na kuwakumbuka aliowaacha duniani kama ni ndugu,watoto,wazazi, marafiki, mali, heshima,cheo, hadi ugonjwa uliomuua anaujua mpk matendo alokua anaishi toka alivyozaliwa hadfi alivyokufa, kwa hapo tusidanganyane

N.B kumbuka TAJIRI NA MASKINI
 
Mungu anamrehemu MAREHEMU tu bwana mshana usitake kumzika mtu bado yupo nyuma ya key-pard/board.
 
Mkuu mshana wewe siku hizi umekuwa msaidizi au aide de camp wa Israel mtpa roho..? Maana kuna sehemu umesema ulimsaidia kukata roho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…