Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

nahitaji mawasiliano yako sijaona wapi umetoa namba zako....plz
Namba zangu ziko Juu Kabisa Tata Au piga ;
0767258286,0789258286 Au 0673258086. Piga Muda wowote Simu zangu ziko Hewani ntakupa Maelekezo Au Connections.
 
Tunashukuru kaka, kunachangamoto uliyoitaja kuhusu uchawi sada sijui sisi tuliokuwa weupe unatushauri nini?
 
biashara ya dagaa tatizo ni soko.soko lake ni gumu,walioanza mwanzono kabisa ndio wanafaidi
 
biashara ya dagaa tatizo ni soko.soko lake ni gumu,walioanza mwanzono kabisa ndio wanafaidi
kabla ya kununua mzigo lazima uliresearch soko na upatikanaji wa hao dagaa,
kwakenya kuna wafugaji wakubwa wa kuku,nishaona kina mama wengi wa kenya wanakuja mwanza kufuata hao dagaa wachafu na inaonekana inawatoa sana hiyo biashara,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom