Umejibu vizuri sana, watu tuna tabia ya kujifariji! Bill alikwenda shule, akapata concepts za computer programming and the like! akashindwa ku graduate, but he had knowledge already.Unamliganisha Bill Gates na darasa la saba. Wacha kujifariji huyo unayesema aliacha shule ambayo ni chuo tiyari alikuwa na start up ambayo aliianzia chuo na aliipata kwa kufundishwa. Alielewa hizi kompyuta, hakutoka anajua kusoma na kuandika tu akawa bilionea. Sema tu haku-graduate ili kupata cheti.
Kuleta shibe kwa wananchi wakeAlikuja kyela akiwa ameshashiba sasa sijui alikuja kutafuta nini.
Kajamaa kanajiamini sana aisee kanasubiri ajipendekeze kampe haki yake
Hasa waliosoma UDSM ,Shida ya unyani wa mwafrika upo kwenye vyeti!! Mtu anaweza kutetea vyeti kuliko alichonacho kichwani.
Hivi msukuma alitia nia awamu hii?Hao std seven ndo wamemwangusha
kajua sasa namna la saba waavyo fanya yao
Tunaishi kwa kutegemeana
Hakuna ambae hana mchango katika maisha ya binaadam
Toka 1990.. hii code nimeisha ifungua.. na hii kutoweza kwenda Indi nayo nimefungua.. duh!Huyu atalipa mengi
Ameumiza wengi tangu miaka ya 90
Kazi kujipendekeza ili kuumiza watu
Akalime mpunga asisumbue watu
India hakutaendeka
wewe nae ni wale wale tuKuna kusoma na kuelimika. Huyo mzee ameishia kusoma maandishi na kupata makaratasi halafu anataka kujifanya mjuaji. Watu wa Kyela wamemwelewesha ipasavyo na mavyeti yake.