Namkubali sana mama Anna Kilango Malecela

Yaan umeingai tu jamii forums na kutoa post hii?yule hana lolote ni siasa za makundi tu ndo zinamsumbua

hasira za mumewe kukosa urais 2005 bado zinzmsumbua,amewachukia sana akina RA na EL.zaidi ya hapo hana lolote.
 
baada ya kuona mchango wake siku ya mswada wa katiba na ishu ya Jairo. Nikagundua hafai hata kwa kulumangia
 
Hana lolote kwanza ajui anachokipigania makelele mengi na kuongea kwa hisia kutafuta umaarufu hana tofauti na wasira sema tu ye asinzii km huyo gollira
 
kiboko yake ni mtoto wa mjini sophia simba,.mda si mrefu atampigia magoti lowassa na kutubu dhambi zake.
 
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
hkuna kitu pale ni kama vuvuzela
anatafuta umaarufu tu
kabla ya juzi si alikuwa anawatuc
cdm kuwa ni wabunge wa hovyo
wapopougomea mswada wa sheria?
yule si moto wala baridi
yaani umetumia nguv zote kuunga jamvi
ili umsifie?
au ni wewe mwenyewe mama kilango
karibu jamvini
 
Mama huyu ni mfano wa kuigwa kwa wabunge wengine, akiwa bungeni anaongea kwa kujiamini na haogopi.una maoni gani kuhusu ujasiri wa mama huyu

free advice, do not trust politicians
 
Hana lolote,anadai anaogopa kuwekewa sumu kama Mwakyembe. Mnafiki mkubwa,mwenye dhamira safi hawezi kubaki CCM.
 
WaKuu!

Mimi nimzaliwa wa jimboni kwake, na tunatoka kijiji kimoja kiitwacho Kihurio Uzambara. Mama hana lolote zaidi ya kuutegemea mwili wake na ndiyo maana mumewe wa kwanza hapa Kihurio alimuacha. Baada ya hapo alihamia Arusha Hotel Equator ambapo kila jioni alipiga kambi pale (nadhani mnanielewa mnaojua shughuli za wamama ikifika jioni mitaa ile).

Sasa kama ni hivyo, usitegemee lolote la maana kwa muwindaji kama huyo zaidi ya kuchumia tumbo lake. Sisi hatukumtuma kupiga kelele zisizo leta tija pale bungeni. Wananchi wake tunahangaika kila kukicha. Umasikini ndiyo umetamalaki hapa jimboni. Nasikitika rushwa ilisababisha tuka mkosa mama DANIDA aliyewezesha kujenga barabara sehemu za milimani na kurahisisha usafiri.

Kama kutokwa na povu kwa kelele bungeni ndiyo tija sawa, vinginevyo hakuna lolote. Uzao wa mafisadi ni fisadi tu.

Nawasilisha.
 
Mama huyu ni mfano wa kuigwa kwa wabunge wengine, akiwa bungeni anaongea kwa kujiamini na haogopi.una maoni gani kuhusu ujasiri wa mama huyu
........swala ni hoja hapa, sio kujiaminisha halafu unamwaga pumba, hoja zenye mantiki.
 
eti eeh nakumbuka alihojiwa na suzane mungi tbc akasema alikuwa mwl na alikuwa mpika chapati
WaKuu!

Mimi nimzaliwa wa jimboni kwake, na tunatoka kijiji kimoja kiitwacho Kihurio Uzambara. Mama hana lolote zaidi ya kuutegemea mwili wake na ndiyo maana mumewe wa kwanza hapa Kihurio alimuacha. Baada ya hapo alihamia Arusha Hotel Equator ambapo kila jioni alipiga kambi pale (nadhani mnanielewa mnaojua shughuli za wamama ikifika jioni mitaa ile).

Sasa kama ni hivyo, usitegemee lolote la maana kwa muwindaji kama huyo zaidi ya kuchumia tumbo lake. Sisi hatukumtuma kupiga kelele zisizo leta tija pale bungeni. Wananchi wake tunahangaika kila kukicha. Umasikini ndiyo umetamalaki hapa jimboni. Nasikitika rushwa ilisababisha tuka mkosa mama DANIDA aliyewezesha kujenga barabara sehemu za milimani na kurahisisha usafiri.

Kama kutokwa na povu kwa kelele bungeni ndiyo tija sawa, vinginevyo hakuna lolote. Uzao wa mafisadi ni fisadi tu.

Nawasilisha.
 
Mama huyu ni mfano wa kuigwa kwa wabunge wengine, akiwa bungeni anaongea kwa kujiamini na haogopi.una maoni gani kuhusu ujasiri wa mama huyu
kama na wewe unatabia kama yake ni sawa na ni lazima umkubali. birds of same feather............:baby::baby::baby:hahahahaaaaaaaaaaaaaaa. huu mwaka mtakoma wenyewe.
 
huyu mama alisema hata kubali mpaka pesa za epa zirudishwe vipi alithibitisha kama zilirudishwa,hana lolote bendera fuata upepo anajipendekeza tu fulu kilaza hajielewi
 
WaKuu!

Mimi nimzaliwa wa jimboni kwake, na tunatoka kijiji kimoja kiitwacho Kihurio Uzambara. Mama hana lolote zaidi ya kuutegemea mwili wake na ndiyo maana mumewe wa kwanza hapa Kihurio alimuacha. Baada ya hapo alihamia Arusha Hotel Equator ambapo kila jioni alipiga kambi pale (nadhani mnanielewa mnaojua shughuli za wamama ikifika jioni mitaa ile).

Sasa kama ni hivyo, usitegemee lolote la maana kwa muwindaji kama huyo zaidi ya kuchumia tumbo lake. Sisi hatukumtuma kupiga kelele zisizo leta tija pale bungeni. Wananchi wake tunahangaika kila kukicha. Umasikini ndiyo umetamalaki hapa jimboni. Nasikitika rushwa ilisababisha tuka mkosa mama DANIDA aliyewezesha kujenga barabara sehemu za milimani na kurahisisha usafiri.

Kama kutokwa na povu kwa kelele bungeni ndiyo tija sawa, vinginevyo hakuna lolote. Uzao wa mafisadi ni fisadi tu.

Nawasilisha.

Ilikuaje akashinda kirahisi huko? Nakumbuka CDM ilimsimamisha mama Kaboyoka ambaye nasikia amefanya mambo mengi huko!
 
Back
Top Bottom