Namkubali sana mama Anna Kilango Malecela

anachowazid wenzake ni kwamba anakula na kupuliza style ya Panya.anaona karibu sana kuliko ananvyoona hajui madhara aliyonayo jk kuwa na madaraka makubwa kwenye mchakato wa katiba mpya ila kaona athari zitokanazo na makatibu wa wizara eg. Jairo kuwa na madaraka meng?i.Hivyo ningekubaliana na ww endapo Kilango asingemtetea jk kuwa na maamuzi mengi ktk mchakato wa katiba mpyaau hajui ufisadi huu nchini umetokana na katiba iliyotengenezwa na mtu mmoja?kama ambavyo JK na ccm yake wanataka watengeneze katiba itakayowalea mafisadi.na magamba wao
 
kwenye ukweli jamani lazima tukubali tuache ushabiki ukiwa kwenye magamba na kujitokeza kukemea kama huyu mama sio kazi rahisi angalieni ni wabunge wangapi wa ccm hawawezi kukosoa serikari kama huyu mama anaweza kuwa na kasoro ndogondogo zinazo kela lakini kiukweli anajua kutimiza majukumu yake kama mmbunge ki ukweli mi namkubali sana
 
Back
Top Bottom