Namkataaje mwanaume nisiempenda?

Namkataaje mwanaume nisiempenda?

Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)?

Naombeni ushauri......
We mghost tu, ila hatokubali muwe marafiki.
Huu ukweli nakupa.
 
Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)?

Naombeni ushauri......
Na kwanini unataka awe rafiki yako?
Au anakupa maokoto?
 
Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)?

Naombeni ushauri......
Ni wakati wa kuwekana wazi huu...
Kama anajielewa atakabiliana na hiyo hali..
Kukataliwa na mwanamke kwa mwanaume ni hali ya kawaida sana
 
Back
Top Bottom