Pole dada kama umeolewa Mungu atakupa mtoto mwenye kheri, nitakusaidia kusoma surat Maryam na Allah atapokea dua In Shaa Allah
nimeolewa ndg mwaka wa 6 sasa...basi Inshaallah nakuomba uniombee kupitia surat hiyo km ulivyosema maana nateseka na upweke ndg yako.Ishaallah Mwenyezi Mungu akubariki na kukufanyia wepesi ktk shughuli zako...asante kwa upendo wako....nawe umejaaliwa wangapi?
Hongera kwa mkeo kukuondolea aibu...hata kama si wako who care![/QUOTE
mpongeze mwenzio,mengine weka kapuni...
Usijali dada Mungu nimuweza wa yote....upweke wako soon utaisha
Marahaba mwanangu hujambo? Nakupenda sana mwanangu na wewe nakuombea siku uniletee mjukuu
baba nitakuletea mjukuu mzuri lakini sijui lini baba
Mwanangu siku ukiniletea mjukuu nitampenda sanaaaaa mda wote nitam-beba sitaki kumuona analia kama nilivyokufanyia wewe...ipo tu siku usijali
bado sijajaaliwa ndg yangu...nahangaika tu na upweke
[/QUOTE]nimeolewa ndg mwaka wa 6 sasa...basi Inshaallah nakuomba uniombee kupitia surat hiyo km ulivyosema maana nateseka na upweke ndg yako.Ishaallah Mwenyezi Mungu akubariki na kukufanyia wepesi ktk shughuli zako...asante kwa upendo wako....nawe umejaaliwa wangapi?[quote name="utafiti" post=8606614]Pole dada kama umeolewa Mungu atakupa mtoto mwenye kheri, nitakusaidia kusoma surat Maryam na Allah atapokea dua In Shaa Allah
Hongera kwa mkeo kukuondolea aibu...hata kama si wako who care!
Mungu mwema dada..atakupatia mtoto
sawa baba !!! baba unaniruhusu nianze kumtafuta sasa hivi baba ...
Hapana mwanangu subiri mda sahihi ufike
sawa baba naubiria mda ufike ... baba nakuoenda wewe na mama ... Mungu awabariki
Asante mwanangu mimi na mama yako tunakupenda sana...upate mkwe utaempenda
sawa baba niombee nimpate mwenye pesa na anipende sana kuliko wewe unavyompenda mama