Namfananisha JPM na Salmin Amour

Namfananisha JPM na Salmin Amour

Wengi mnamkumbuka aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Salmin Amour kwa utawala wake wa mkono wa chuma, kiasi cha kupachikwa jina la 'Komandoo'

Wapinzani wake walikiona cha mtema kuni, hadi baadhi yao waliwekwa kizuizini kwa kosa la Uhaini.

Sasa naiona Nchi yangu ikiwa imepata Salmin Amour "mpya" kwani kitabia Rais mteule naona anarandana kabisa na Kamandoo wa Zanzibar ile.

Hakika tutakuja kumkumbuka sana JK kwani tulikuwa na uhuru uliopitiliza mpaka tukajisahau, magazeti yaliandika yalivyotaka, tulimsema na kumkosoa tulivyojisikia. Lakini kwa awamu hii ya tano, chonde chonde jamani, kila abiria achunge mzigo wake.
Atafanana naye hata ktk maisha ya kustaafu?
 
Mlimuita Kikwete anacheka cheka,na yeye akaamua kuwaletea mtu asiechekacheka kwa sababu hamkutaka anaechekacheka,sasa twendeni kazi kwanza,mengine tutasemezana taratibu mbele ya safari.
Kazi yeyote ile huwa ni kwa busara bwa shee.!!
 
Ungejua anayopitia huyo salmin amour Sasahivi, karma is a bitch jamaa anaishi kwa mateso Sana Sasa na hafi ili aendelee kuteseka
download.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atafanana naye hata ktk maisha ya kustaafu?
nani kakuambia atastaafu?hilo la Ndugai na mwambe ni trailer tu movie kamili linakuja,astaafu wakati kila kitu ana control yeye sasa hivi?hata akiamua kuondoka anaweza akamuachia nchi mtoto wake na wapiga zumari watshangilia kwamba inahitajika damu yake ili nchi isonge na ipambane na mabeberu
 
Mungu atuepushie
 
Wengi mnamkumbuka aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Salmin Amour kwa utawala wake wa mkono wa chuma, kiasi cha kupachikwa jina la 'Komandoo'

Wapinzani wake walikiona cha mtema kuni, hadi baadhi yao waliwekwa kizuizini kwa kosa la Uhaini.

Sasa naiona Nchi yangu ikiwa imepata Salmin Amour "mpya" kwani kitabia Rais mteule naona anarandana kabisa na Kamandoo wa Zanzibar ile.

Hakika tutakuja kumkumbuka sana JK kwani tulikuwa na uhuru uliopitiliza mpaka tukajisahau, magazeti yaliandika yalivyotaka, tulimsema na kumkosoa tulivyojisikia. Lakini kwa awamu hii ya tano, chonde chonde jamani, kila abiria achunge mzigo wake.
Idd Amin mpya.
 
Magufuli na Salimin wanapatana namna ya kushughulikia vyama vya upinzani.
Salmin Amour was very ruthless aliwaswaga Wapemba bila huruma hadi wakahamia Kenya na Somalia bila kupenda.
Hapa Bara Magufuli nae anatumia excessive force kuwakandamiza wapinzani ambao sio agenda iliomwingiza madarakani wala Chadema sio threat kwa ustawi wa Tanzania Bara kama ilivyokuwa Zanzibar wakati wa Salmin.
Threat kwa Magufuli ipo ndani ya chama chake mwenyewe.
 
Wengi mnamkumbuka aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Salmin Amour kwa utawala wake wa mkono wa chuma, kiasi cha kupachikwa jina la 'Komandoo'

Wapinzani wake walikiona cha mtema kuni, hadi baadhi yao waliwekwa kizuizini kwa kosa la Uhaini.

Sasa naiona Nchi yangu ikiwa imepata Salmin Amour "mpya" kwani kitabia Rais mteule naona anarandana kabisa na Kamandoo wa Zanzibar ile.

Hakika tutakuja kumkumbuka sana JK kwani tulikuwa na uhuru uliopitiliza mpaka tukajisahau, magazeti yaliandika yalivyotaka, tulimsema na kumkosoa tulivyojisikia. Lakini kwa awamu hii ya tano, chonde chonde jamani, kila abiria achunge mzigo wake.
Malipo ni hapa hapa duniani,Komandoo kapofuka na huyo pacha wake yuko motoni sasa hivi
 
Wengi mnamkumbuka aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Salmin Amour kwa utawala wake wa mkono wa chuma, kiasi cha kupachikwa jina la 'Komandoo'

Wapinzani wake walikiona cha mtema kuni, hadi baadhi yao waliwekwa kizuizini kwa kosa la Uhaini.

Sasa naiona Nchi yangu ikiwa imepata Salmin Amour "mpya" kwani kitabia Rais mteule naona anarandana kabisa na Kamandoo wa Zanzibar ile.

Hakika tutakuja kumkumbuka sana JK kwani tulikuwa na uhuru uliopitiliza mpaka tukajisahau, magazeti yaliandika yalivyotaka, tulimsema na kumkosoa tulivyojisikia. Lakini kwa awamu hii ya tano, chonde chonde jamani, kila abiria achunge mzigo wake.
Aiseeee !!!
 
Unastahili kupata medali ya kuwa mtu mwenye maono. Hakika uliujua ule wendawazimu wake.
 
Wengi mnamkumbuka aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Salmin Amour kwa utawala wake wa mkono wa chuma, kiasi cha kupachikwa jina la 'Komandoo'

Wapinzani wake walikiona cha mtema kuni, hadi baadhi yao waliwekwa kizuizini kwa kosa la Uhaini.

Sasa naiona Nchi yangu ikiwa imepata Salmin Amour "mpya" kwani kitabia Rais mteule naona anarandana kabisa na Kamandoo wa Zanzibar ile.

Hakika tutakuja kumkumbuka sana JK kwani tulikuwa na uhuru uliopitiliza mpaka tukajisahau, magazeti yaliandika yalivyotaka, tulimsema na kumkosoa tulivyojisikia. Lakini kwa awamu hii ya tano, chonde chonde jamani, kila abiria achunge mzigo wake.
Komandoo ni kipofu na Jiwe ni al marhum... roho mbaya hailipi
 
Mtoa Mada Nabil
 
Back
Top Bottom