Name 1 reason for your "single status"

Name 1 reason for your "single status"

Kuwa single ni KAULI TU wengi akili,mawazo na miili havipo single wapo kwenye Unjustified relationship
 
Kama Wewe Ni Mwanamke Na Unamiaka Kati Ya 22-35.Na Upo Single Au Hauna Mahusiano Yeyote Ya Kueleweka.Wewe Umekua Ni Mtu Tu Wa Kudanganywa danganywa Na Kutendwa Kila Siku.Au Umezalishwa Umeachwa.Basi Ujiue Kua Wewe Ni Mwanamke Mbovu Kati Ya Wabovu.Sema Hujijui Tu Na Unabakia Kutoa Visingizio.


na mwanaume je?
 
Pongez kwa mtoa maada hii maana tuliosingle itapendeza tukawa double japo kwa kipindi hiki cha baridi tupeane kajoto katamu!
 
Single ni kati ya mbinu za kujikimu kimaisha kabla ya kuoa but pia ni ili mtu awe na uhuru wa kimaisha sio kubanwa na couple wake..!
 
Siku za mwanzoni katakujali ila utaachwa mda si mrefu pole in advance maana najua soon utakuwa unajiliza liza hapa

Uzuri nikuwa hadi kananiacha katakuwa kamenitimizia ndoto zangu, babu muhongaji aisee!!! Hata VX na kile kighorofa kamenijengea kenyewe,
 
Back
Top Bottom