troublemakerYaweza kuwa humchukii ila tu ni kwamba huna bond nae sio kosa
Hakuna bond kati yenu, ndio maana unafeel hivyo.wana jf mm namchukia sana mama hata nsipowasiliana nae mwaka najiona sawa..
To sum up..
Mimi nmelelewa na bibi baada ya wazazi kuachana na mama akaolewa..ivo mimi nikiwa mtoto wa pili na mwisho ilibd nkaish na mama kulingana na umri wangu..
Baba wa kambo alitamka kauli moja anahitaji kubaki na mtu mmoja kama mama anaondoka mim nibaki na kama mimi naondoka mama abaki..
maamuz ya mwsho yaliamuliwa niondoke nkaenda kuish na bibi huku mzee akiwa karbu na sisi tangu darasa la kwanza had tunamlza chuo.
Huwa naona mtandaoni watu wakiwasifia mama zao jins wanavowapenda ila kwangu imekuwa tofauti..Nampenda sana bibi yan sana hata nikiwa na kidogo bora apate bibi ila sio mama..Mama namuona kama ......sina maelezo mazuri ya kuelezea ila namchukia..
nataman nimpende kama mzazi nifanyaje
Nambie mkuu.troublemaker
kuwa troublesolverNambie mkuu.
Baba yako mzazi alikuwa wapi wakati huo?WanaJF
Mimi namchukia sana mama hata nsipowasiliana nae mwaka najiona sawa.
To sum up..
Mimi nmelelewa na bibi baada ya wazazi kuachana na mama akaolewa. Hivyo mimi nikiwa mtoto wa pili na mwisho ilibidi nikaishi na mama kulingana na umri wangu.
Baba wa kambo alitamka kauli moja anahitaji kubaki na mtu mmoja kama mama anaondoka mim nibaki na kama mimi naondoka mama abaki.
Maamuzi ya mwsho yaliamuliwa niondoke nikaenda kuishi na bibi huku mzee akiwa karibu na sisi tangu darasa la kwanza hadi tunamliza chuo.
Huwa naona mtandaoni watu wakiwasifia mama zao jins wanavowapenda ila kwangu imekuwa tofauti.
Nampenda sana bibi yaani sana hata nikiwa na kidogo bora apate bibi ila sio mama..Mama namuona kama. Sina maelezo mazuri ya kuelezea ila namchukia.
Nataman nimpende kama mzazi nifanyaje
Hakuna la kusolve hapa, maana anahusi anamchukia kumbe wala hamchukii. Ni vile urafiki kati yao haujajengeka/haupo.kuwa troublesolver
Mzeey mbona unakurupuka sana unajua chanzo cha kuachana kwao? Mpaka unasema wakulaumiwa ni mwanaumeMlaumu baba yako kwa kuachana na mama yako mkateseka nyie.
Hun tofauti na wasaka tongeHakuna bond kati yenu, ndio maana unafeel hivyo.
Kwa choices alizopewa, ilikuwa ni wazi wewe ndio wakuondoka. Unaweza kumlaumu ila jaribu kumuelewa. Usikae na kinyongo, jaribu kuflash ili maisha yaendelee.hu
Wanalala vizuriKuna wamama huchagua wanaume kuliko watoto wao unalalaje na mtu hamtaki mwanao khaa