alikuwa hata mechi za mchangani hauzurii? hilo jamaa f a l a kweli, dingi ndo alikuwa anamshikia mashine yake?
Au dingi anamfanya chakula mtoto wa kiumebi
Ujirani mwema ukipachika mimba unakataa mpaka tuende kwenye DNA ndo ujirani gani huo. Yaani ni MIKATABA FEKI tu iliyojaa kwenye huo unaoita ujirani mwema.mnh hata mechi za kisela tu za ujirani mwema jamani???
Mi nafikiri tatizo ni wazee wa sasa, wazee wa zamani walikuwa na busara
hawa wazee wa sasa hawana busara na akili zao kama kuku. Samahani
kama nitakuwa nimewakosea heshima bt no way out wakati niko shule
ya msingi nimewahi kutongozwa na wazee wengi tu ambao wengine ni
wakubwa kuliko baba yangu mzazi. Nilipokuwa sekondari ndo kabisaaa!
Wazee wa zamani wakiona umefikia ukubwa hata kwa kukutafutia mke
watakutafutia, hii ilikuwa inawasaidia vijana wavivu kujituma kwani
anajitambua kuwa yeye ni mtu mzima na ana majukumu nyumbani lakini
hii mizee ya sasa kazi kuhonga na kuzuia watoto wao kuoa. Ajira zenyewe
ngumu mi naona wakati ule mtoto anatafuta kazi basi nawe mtafutie kitulizo.....
Mwanamke ni kitulizo tosha cha kupunguza misongo ya mawazo
huyo ambaye angemuoa, angetongozewa?Nilipomwambia nataka kuoa alinikataza akasema mpaka nijijenge kimaisha
Kutokana na kuzidiwa na matamanio nilikuwa nalala kitandani na kuimage kuwa
niko na mwanamke mpaka ninapee.... Huu ni mwaka wa kumi sasa, siku moja
niliamua kwenda kwenye danguro ili kupunguza machungu kwa kufanya ya ukweli
fedha nimelipa lakini nimeumbuka kwani mzee alishindwa kuamka kabisa kutoka
mafichoni...................
Sina furaha tena naogopa hata kuoa kwani sijui kama nitaweza ku... nahisi
nitaumbuka.... nimezoea kukandamiza godoro... na kuji......
Namchukia baba yangu natamani hata kumuua kwani kila nilipokuwa namueleza
suala la kuoa alikuwa ananifokea sana na kuniambia nakimbilia maisha...... Nilikuwa
naona aibu kutongoza mwanamke kwani mara nyingi nilikuwa nahudhuria kanisani
hivyo nafsi ilikuwa inanisuta sana...........
Ana miaka 32 anasimulia habari hizo ni ndefu nashindwa kuweka maelezo yake
yote, kweli ana haki ya kumchukia baba yake kiasi hicho?
Vipi utamshauri nini mwanao kama anataka kuoa na unaona wazi bado maisha yake
hayajawa mazuri kiasi unachohitaji wewe kama mzazi?