GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,277
- 6,673
Nilipomwambia nataka kuoa alinikataza akasema mpaka nijijenge kimaisha
Kutokana na kuzidiwa na matamanio nilikuwa nalala kitandani na kuimage kuwa
niko na mwanamke mpaka ninapee.... Huu ni mwaka wa kumi sasa, siku moja
niliamua kwenda kwenye danguro ili kupunguza machungu kwa kufanya ya ukweli
fedha nimelipa lakini nimeumbuka kwani mzee alishindwa kuamka kabisa kutoka
mafichoni...................
Sina furaha tena naogopa hata kuoa kwani sijui kama nitaweza ku... nahisi
nitaumbuka.... nimezoea kukandamiza godoro... na kuji......
Namchukia baba yangu natamani hata kumuua kwani kila nilipokuwa namueleza
suala la kuoa alikuwa ananifokea sana na kuniambia nakimbilia maisha...... Nilikuwa
naona aibu kutongoza mwanamke kwani mara nyingi nilikuwa nahudhuria kanisani
hivyo nafsi ilikuwa inanisuta sana...........
Ana miaka 32 anasimulia habari hizo ni ndefu nashindwa kuweka maelezo yake
yote, kweli ana haki ya kumchukia baba yake kiasi hicho?
Vipi utamshauri nini mwanao kama anataka kuoa na unaona wazi bado maisha yake
hayajawa mazuri kiasi unachohitaji wewe kama mzazi?