Namchukia baba yangu!

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,276
6,623
Nilipomwambia nataka kuoa alinikataza akasema mpaka nijijenge kimaisha
Kutokana na kuzidiwa na matamanio nilikuwa nalala kitandani na kuimage kuwa
niko na mwanamke mpaka ninapee.... Huu ni mwaka wa kumi sasa, siku moja
niliamua kwenda kwenye danguro ili kupunguza machungu kwa kufanya ya ukweli
fedha nimelipa lakini nimeumbuka kwani mzee alishindwa kuamka kabisa kutoka
mafichoni...................

Sina furaha tena naogopa hata kuoa kwani sijui kama nitaweza ku... nahisi
nitaumbuka.... nimezoea kukandamiza godoro... na kuji......
Namchukia baba yangu natamani hata kumuua kwani kila nilipokuwa namueleza
suala la kuoa alikuwa ananifokea sana na kuniambia nakimbilia maisha...... Nilikuwa
naona aibu kutongoza mwanamke kwani mara nyingi nilikuwa nahudhuria kanisani
hivyo nafsi ilikuwa inanisuta sana...........

Ana miaka 32 anasimulia habari hizo ni ndefu nashindwa kuweka maelezo yake
yote, kweli ana haki ya kumchukia baba yake kiasi hicho?
Vipi utamshauri nini mwanao kama anataka kuoa na unaona wazi bado maisha yake
hayajawa mazuri kiasi unachohitaji wewe kama mzazi?
 
sioni sababu ya kumchukia dingi yake hapo
labda baba anajua sana mambo haya ya ndoa,alitaka mtoto wake asijepata matatizo manake ndoa za siku hizi bila hela umeliwa
 
Sasa kosa la dingi hapo liko wapi? Hilo ni tatizo la kula kulala ndiyo maana hata dingi mwenyewe hawezi kuamini kama mwanawe anaweza kukaa na mke. Miaka 32 bado anakaa kwa gingi kama sio uchuro ni kitu gani hicho? Mweeeh!
 
mwambie first and foremost ahame nyumbe akajitegemee hata kama ni kwa kuuza magazeti au karanga njiani,then ndo afikirie kuchukua mtoto wa watu akaishi naye.
 
Mimi naona huna haja ya kumchukia dingi kiasi hicho, huo ni muono wake juu ya wewe kuoa lakini na wewe inatakiwa usimame imara kutetea msimamo wako likiwemo suala la magonjwa. Very simple, mzee mimi nimeshakuwa mtu mzima nahitaji kuoa ili nianzishe familia yangu na kuanza kuihudumia kabla umri haujaenda sana. Pia lipo swala la magonjwa, kunizuia kuoa na wakati nimeshapevuka vya kutosha ni kuninyima haki yangu ya msingi na kuniweka katika risk ya kupata magonjwa likiwemo HIV kwani nitashindwa kujizuia! Kuhusu suala la mashine kushindwa kusimama hilo ni suala la kisaikolojia tu kwa kuwa umezoea nyento! Halafu usichukue malaya kwani inakuongezea possibility ya uume wako kutosimama kutokana na akili yako kuiona risk iliyopo mbele yake basi unakuta kitu kinanywea kama umetoka kuoga maji ya baridi!
 
32Yr uko kwa Baba?? huyu ana matatizo mengi ama hajishughulishi.... atafute mwananmke taratibu kitu kitazoea maadam mashine huwa inasimama asubuhi
 
Tatizo hajajipanga kuoa ila Wazazi wengi ndivyo walivyo. Wanawakatisha tamaa wanao kuoa hatakama wameshajipanga lakini wanaona kawaidi wanapofanya uzinifu.
Asimchukie baba, afanye matibabu then ajitegemee na aoe bila kusubiri ruhusa ya baba. Mwanaume akishajipanga kuoa haombi ruhusa kwa baba bali anamuarifu tu.
 
Hana akili huyo...ajilaumu kwa kuwa tegemezi mpaka ana miaka 32...angekuwa ana uwezo wala asingehitaji ruhusa ya mzee kuoa...ila mzee kagoma kwani anajua jukumu la kulea linaongezeka...
 
Mi nafikiri tatizo ni wazee wa sasa, wazee wa zamani walikuwa na busara
hawa wazee wa sasa hawana busara na akili zao kama kuku. Samahani
kama nitakuwa nimewakosea heshima bt no way out wakati niko shule
ya msingi nimewahi kutongozwa na wazee wengi tu ambao wengine ni
wakubwa kuliko baba yangu mzazi. Nilipokuwa sekondari ndo kabisaaa!

Wazee wa zamani wakiona umefikia ukubwa hata kwa kukutafutia mke
watakutafutia, hii ilikuwa inawasaidia vijana wavivu kujituma kwani
anajitambua kuwa yeye ni mtu mzima na ana majukumu nyumbani lakini
hii mizee ya sasa kazi kuhonga na kuzuia watoto wao kuoa. Ajira zenyewe
ngumu mi naona wakati ule mtoto anatafuta kazi basi nawe mtafutie kitulizo.....
Mwanamke ni kitulizo tosha cha kupunguza misongo ya mawazo
 
Binti umenikuna sana mpaka nimekunika. Safari yangu itakuwa nzuri maana najiandaa
niko safarini NITAKUPM Kuna kitu nataka kukuuliza nitakutumia namba ya simu naomba
unibeep nitakupigia!
 
Nilipomwambia nataka kuoa alinikataza akasema mpaka nijijenge kimaisha
Kutokana na kuzidiwa na matamanio nilikuwa nalala kitandani na kuimage kuwa
niko na mwanamke mpaka ninapee.... Huu ni mwaka wa kumi sasa, siku moja
niliamua kwenda kwenye danguro ili kupunguza machungu kwa kufanya ya ukweli
fedha nimelipa lakini nimeumbuka kwani mzee alishindwa kuamka kabisa kutoka
mafichoni...................

Sina furaha tena naogopa hata kuoa kwani sijui kama nitaweza ku... nahisi
nitaumbuka.... nimezoea kukandamiza godoro... na kuji......
Namchukia baba yangu natamani hata kumuua kwani kila nilipokuwa namueleza
suala la kuoa alikuwa ananifokea sana na kuniambia nakimbilia maisha...... Nilikuwa
naona aibu kutongoza mwanamke kwani mara nyingi nilikuwa nahudhuria kanisani
hivyo nafsi ilikuwa inanisuta sana...........

Ana miaka 32 anasimulia habari hizo ni ndefu nashindwa kuweka maelezo yake
yote, kweli ana haki ya kumchukia baba yake kiasi hicho?
Vipi utamshauri nini mwanao kama anataka kuoa na unaona wazi bado maisha yake
hayajawa mazuri kiasi unachohitaji wewe kama mzazi?
huyo ambaye angemuoa, angetongozewa?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom