Namba zipi za simu umezikariri?

Wimsha

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
518
503
Wana Jf juzi nilisahau cm yangu yenye namba ya cm ya mama yangu na nilipotaka kuwasiliana na mama yangu kwa mshangao mkubwa sikuikumbuka kabisa. Namba nilizokumbuka kichwani ni moja ya mchepuko ya pili ni ex g wangu na ya tatu ni ya kazini.

Kwa dhati ya moyo wako namba za akina nani umezikariri?
 
Mbili yangu na ya bimkubwa wangu..
Japo ya bimkubwa inabidi nitulize akili kama ukinikurupua usingizin siwez itaja pia
 
Nimekariri yng na ya demu Wng tu,tena ya demu Wng imenilazimu kuikariri 7bu ya kufanya miamala Mara kwa Mara maana kwa mizinga hajambo!
 
Back
Top Bottom