Sokomoko
JF-Expert Member
- Mar 29, 2008
- 1,915
- 127
uko sawa kabisa mkuu, kula tano!
tatizo ni kwamba jamaa wa serikalini sijui wanakurupuka??
wanashindwa kuelewa kila kukicha magari yanaongezeka, ilitakiwa waelewe kwamba wanahitaji kuweka system ambayo namba zitakaa kwa muda mrefu zaidi bila kubadili system.
sasa twende kimahesabu hapa chini:
herufi A-Z ziko 26
namba wanasajili kuanzia 101-999=(999-100)=898
kwahiyo kwenye herufi 3, yaani T 666 UKE kutakua na
26*26*26*898= 15,783,248
sijajua takwimu za magari tuliyonayo kwa sasa, lakini dalili zinaonyesha hii system haitafikisha miaka 10 tangu sasa kua full.
hali itakua mbaya kwa Zanziberi wao ndo wamepunguza
Z 666 UK!!
ila kwenye hizi herufi zile zote zinazofanana na namba hazihusishwi, mfano I, O
sipati picha gari liwe na namba hii T 666 CCM ligongane uso kwa uso na lingine lenye namba T 999 CUF, duh itakua balaa. (joke)
Sasa mnataka watakaokuja wale wapi?hivi nyie mazuzu?atlist huyo alieplan hii kitu amewaachia na watakaokuja angeifanya iwe ya milele je? Bravo che nkapa