Namba za magari Tanzania

HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,612
2,558
Jamani nimeona tukumbushane kidogo kuhusu hizi namba za magari Tanzania. Maana kuna vifupisho vyake vingine vinabeba maana halisi ya maneno yanayotumika ktk maisha yetu ya kila siku.

Kama na wewe unakumbuka namba kadhaa, please ogezea kwenye list ...
Majina ya kampuni/Mashirika
T 203 WFP
T 119 ILO
T 223 PPF
T 109 BMT
T 100 TFF
Majina ya Watu
T 666 ALI
T 102 ANA
Majina yanayokera
T 112 AFE
T 999 UFE
Majina ya Taaluma
T 111 MIS
T 109 ICT
Majina mengine
T 703 BOY
T 150 BIA
T 105 ASS
T 445 MBO
T 115 TIA

Ongeza na ya kwako hapo chini
 

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,423
1,903
Herufi O haitumiki katika usajili ndugu..........halafu hizo ni namba za usajili tu.....nothing more
 

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Jul 20, 2010
4,519
1,396
jamani nimeona tukumbushane kidogo kuhusu hizi namba za magari tanzania. Maana kuna vifupisho vyake vingine vinabeba maana halisi ya maneno yanayotumika ktk maisha yetu ya kila siku.

Kama na wewe unakumbuka namba kadhaa, please ogezea kwenye list ...
Majina ya kampuni/mashirika
t 203 wfp
t 119 ilo
t 223 ppf
t 109 bmt
t 100 tff
majina ya watu
t 666 ali
t 102 ana
majina yanayokera
t 112 afe
t 999 ufe
majina ya taaluma
t 111 mis
t 109 ict
majina mengine
t 703 boy
t 150 bia
t 105 ass
t 445 mbo
t 115 tia


ongeza na ya kwako hapo chini
t2015 cdm
 

Mfwalamanyambi

JF-Expert Member
Dec 18, 2010
433
101
Mtoa mada umetupeleka kwenye uwanja wa "uongo"?. mbona namba nyingi ulizoweka hapo bado hatujazifikia????
 

anjnr

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
535
202
Hivi gari namba MMM ni ya kiongozi gani hapa nchini? Tumesimamishwa mahali fulani kupisha msafara wake.
 

kajembejr

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
1,252
1,178
T777BAG
T212CUF
T455CUP
T333DAR
T122ARV
T222ADD
T321AHA(ilikuwa dawa ya meno)
DRC(hii bado lakini itakuja mbeleni)
T202DEC(ufupisho wa December)
T444DCM


KUMI ZINATOSHA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom