Namba ya Simu Unayopiga Imefungiwa

Namba ya Simu Unayopiga Imefungiwa

Ka thread kazuri,
ushauri
ukifundisha lock weka na code za unlock itakuwa poa.
 
aaaaaaah nilipijiaga mchepuko nikasikia hivyo, kumbeeeeeeee...!?
 
Aisii... nilikuwa najiuliza kunani namba unajua ipo hewani ila ukipiga unaambiwa imefungiwa.. now i inderstand
 
Back
Top Bottom