Distinction
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 747
- 399
Kwenye matundu hapo, naomba irudie kuhesabu.Matundu ya mwili wa binadamu yapo 7
Wiki ina siku 7
Duniani kuna mabara 7
Kwenye matundu hapo, naomba irudie kuhesabu.Matundu ya mwili wa binadamu yapo 7
Wiki ina siku 7
Duniani kuna mabara 7
Pua 2Kwenye matundu hapo, naomba irudie kuhesabu.
Macho ni tundu?Pua 2
Mdomo 1
Masikio 2
Macho 2
Mbele 1
Nyuma nzutu 1
Jumla 9 (au macho sio matundu) ukitoa macho ni 7
Macho ni tundu?
Tundu ni sehemu ambayo kitu kinaweza kuingia, labda tuanzie hapo....Pua 2
Mdomo 1
Masikio 2
Macho 2
Mbele 1
Nyuma nzutu 1
Jumla 9 (au macho sio matundu) ukitoa macho ni 7
Tundu ni sehemu ambayo kitu kinaweza kuingia, labda tuanzie hapo....
Pia kimaumbile Kuna utofauti wa matundu kati ya mwanaume na mwanamke..
Basi yapo 7.Tundu ni sehemu ambayo kitu kinaweza kuingia, labda tuanzie hapo....
Pia kimaumbile Kuna utofauti wa matundu kati ya mwanaume na mwanamke..
NdioMaji yanaweza kukuingia mwilini kupitia macho?
Ukitaka kutesti weka pili pili, ww si unapata machozi yanatoka wapiMaji yanaweza kukuingia mwilini kupitia macho?