Namba ngeni; je una boyfriend?

Namba ngeni; je una boyfriend?

Vodka

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
906
Reaction score
96
Namba ngeni ilimpigia huyu demu then ika anza ku mwambia...NAMBA NGENI ; hallo! mrembo!...una boyfriend?!
GIRL ; yap ninae kwani we ni nani?! NAMBA NGENI ; mi ni baba yako kumbe una boyfriend eeehh!! nikirudi hom uta eleza sasa..baada ya dakika mbili cmu ika ita tena kwa yule dem
NAMBA NGENI ; hallo mambo!....una boyfrend?!
GIRL ; sina kwani ni nani?!
NAMBA NGENI ; haaaaa mi ni boy frend wako...ina maana umenisaliti?!
GIRL ; no no no baby sorry ni dhani ni baba yangu ndo maana nika sema hivyo
NAMBA NGENI; Mimi ni baba yako nilitaka tu kuhakikisha,kumbe kweli ! Utanikoma nikirudi.
 
Huyo baba anamakusudi.mbona hajapiga tena akamuuliza huyo girl kama ana baba au la.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom