Namba hii ya simu inanisumbua.....

LuCKNOVICH

Senior Member
Jan 22, 2011
104
11
Ndugu wana JF,
inavyo onekana ni watu wa karibu wanamtumia binti huyu kunichafua kwa sms za kashfa,matusi.nimefanikiwa kumjua ni nani,anabip muda wote ni siku ya 3 sasa
Sipendi kesi ni kama itanipotezea muda.
Nipeni ushauri nifanye nini?

Naweka jamvini
 
Nenda polisi,infact lazima una uchafu flani ndo wanautumia,hawawezi kukuanza tu from no where so nawe jiangalie na kujitathmini
 
Ndugu wana JF,
inavyo onekana ni watu wa karibu wanamtumia binti huyu kunichafua kwa sms za kashfa,matusi.nimefanikiwa kumjua ni nani,anabip muda wote ni siku ya 3 sasa,namba yenyewe ni 0716799233
Sipendi kesi ni kama itanipotezea muda.
Nipeni ushauri nifanye nini?

Naweka jamvini

Kumbe anayekusumbua umeishamjua basi weka mtego umkamate akwambie nani wamemtuma..Mbona rahisi sana kumkamata?
 
Wewe kwa nini ulimpatia namba yako kama humpendi ? If you no longer need her, block the umber.
 
hakuna haja ya kuzunguka sana. mblock, endlea na mambo mengne ya muhimu.
 
Mi bado sijakuelewa unataka ushauri gan sasa.
Mtu anayekusumbua unamjua na wewe hutaki usumbufu so siumchukulie mwendo sasa.

Kama vip iblock hiyo namba.

Ukitaka ushauriwe vizuri na wanajamvi funguka vizuri anakusumbua je?
Kivipi?.
 
Ndugu wana JF,
inavyo onekana ni watu wa karibu wanamtumia binti huyu kunichafua kwa sms za kashfa,matusi.nimefanikiwa kumjua ni nani,anabip muda wote ni siku ya 3 sasa,namba yenyewe ni 0716799233
Sipendi kesi ni kama itanipotezea muda.
Nipeni ushauri nifanye nini?

Naweka jamvini
Kambandue!!!!!
 
jamani,kwan unawezaje kui-block namba ya simu ya mtu?. Dah msaada nami niblock kuna namba inanisumbua sana
 
Huyo mbona sio tatizo. Mwache abip hadi achoke au set simu yako to reject that number akipiga tena hatokupata.
 
heyyyy...ni vip unaweza block no ya mtu...elezeni kwa upana waungwana na watu muhimu na mahalumu saaana!
 
heyyyy...ni vip unaweza block no ya mtu...elezeni kwa upana waungwana na watu muhimu na mahalumu saaana!

Mkuu kwa muonekano wa avatar yako naona itakuwa bado unatumia simu za zama hizoooo za ki-avataravatar yako na lazma isiwezekane ku-block namba ya mtu...SMART GUYS GO FOR SMART PHONES...hamieni kunako technolojia ya kisasa mupate mambo ya kisasa....NAAMINI MUMENIELEWA WOTE MUSIOWEZA KUBLOCK AU REJECT NAMBA ZINAZOWAKERENI
 
Back
Top Bottom