Grace glory
JF-Expert Member
- Feb 17, 2018
- 401
- 551
Mbona 13? Na hizi 13 si zipo kila sehemu, shulen tulikuwa tunaandika 13, kwenye hesabu za ofisin kwangu 13 huwa siiruki, kwenye saa yangu hapa huwa hairuki 13 ndo ije 14?
Ninapoendesha gari mbona huwa haiachi kusoma km13,?mbona nyumba yetu imepewa namba 13? Mbona mimi mdogo wangu amezaliwa tar13?
Issue ni seat namba 13 kutokuepo kwenye ndege na magari?
Kwamba ukianza kuhesabu hivyo viti ukifika la 13 ndo hulioni?
Haya tuchukulie mfano, wewe umeamua kuwahesabu watu 1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12 kwahyo wa 13 unamuacha unaenda kumhesabu wa 14? Haya tuchukulie mfano namba zisingekuwa zinaandikwa kwenye seat labda watu wangekuwa wanaandika majina ya wanyama ingekuaje?