zile za kumkaribisha mumeo "karibu baba" au ukitaka kumwambia jambo unaanza "baba sasa.........." unamuogopa sijui kama nini mie bhuwa nachoka na couple zingine jamani mwe!! mtu hawezi kumpiga hata busu la shavu mumewe wakiwa wametoka kaa! wakati akiwa na nyumba ndogo anapigwa busu mpaka kwenye pachupachu za kidole gumba.mhhh kwaheri weeekend njemaAhaa sasa hapa tupo ukurasa mmoja agika......wengine wanadhani waume zao ni kaka zao....lol
zile za kumkaribisha mumeo "karibu baba" au ukitaka kumwambia jambo unaanza "baba sasa.........." unamuogopa sijui kama nini mie bhuwa nachoka na couple zingine jamani mwe!! mtu hawezi kumpiga hata busu la shavu mumewe wakiwa wametoka kaa! wakati akiwa na nyumba ndogo anapigwa busu mpaka kwenye pachupachu za kidole gumba.mhhh kwaheri weeekend njema
zile za kumkaribisha mumeo "karibu baba" au ukitaka kumwambia jambo unaanza "baba sasa.........." unamuogopa sijui kama nini mie bhuwa nachoka na couple zingine jamani mwe!! mtu hawezi kumpiga hata busu la shavu mumewe wakiwa wametoka kaa! wakati akiwa na nyumba ndogo anapigwa busu mpaka kwenye pachupachu za kidole gumba.mhhh kwaheri weeekend njema
hizi za mabinti wa kichaga kabla hawajawa wajanja
wakishakuwa wajanja, utawakamata tena
na nawwshauri ndugu zangu kama hujao halafu unataka kuoa mwanamke kutoka uchagani eti unataka challenge ya maisha basi mtafutie hapa hapa mjini. Ukienda kumtoa uko Kishimundu ndio ukamleta hapa town atakuja na hizi za 'baba' lakini baada ya muda hutajuta kuoa kileji
Mkuu una uzoefu naoa au umesikia tu? LOL
zile za kumkaribisha mumeo "karibu baba" au ukitaka kumwambia jambo unaanza "baba sasa.........." unamuogopa sijui kama nini mie bhuwa nachoka na couple zingine jamani mwe!! mtu hawezi kumpiga hata busu la shavu mumewe wakiwa wametoka kaa! wakati akiwa na nyumba ndogo anapigwa busu mpaka kwenye pachupachu za kidole gumba.mhhh kwaheri weeekend njema
Habari
Leo naungana na dada yangu Mwasity katika kile alichokiimba.....
Leo nalivua pendo, nililopenda zamani
Nabadili wangu mwendo, nami niwe furahani
Nimechoshwa na vitendo, visa na purukushani
Kweli mapenzi uvundo, apendwapo hathamini (By Mwasiti)
Hivi unapofikia hatua kama hii
1. Nini cha kufanya ili uendelee kuwa strong?
2. What to do ili isikusumbue (the quilty concious)
3. Ufanyeje ikusahaulishe mapema
Nauliza tu ndugu zangu maana...................mh
Yaani, hadi nakosa hata la kuchangia, kama ni kitchen party basi ya nguvu umepewa tena kutoka kwa wadada na wakaka.
Natamani ningekuwa karibu nawe dada yangu ukilia tulie wote......hasira zikiisha sasa nakwambia tumsubiri arudi huyo kidume cha mbegu then mimi ndio niwe msemaji mkuu nimweleze anavyokutesa...then nitakusaidia kuchagua vya kuchukua kama alivyosema and off we go.. no turning back.
Kuokoka kwa maana ya kumuamini na kumkiri Yesu Kristo kuwa ni bwana ndiyo suluhisho....Ukiokoka ki ukweli na ukawa ushuhuda kwa mwenzi wako,atakufuata bila kumshinikiza...na mtaishi maisha mazuri. hivi vitu huwezi ukavijua ukiwa nje ya wokovu....they're real.
usiangalie maisha ya wanaoigiza wokovu,jitoe wewe umtumikie Mungu vitu vingine vitanyooka vyenyewe...
nina uzoefu na nisemacho/niandikacho hapa,nina ndo ya miaka2 kipengele cha wivu na usumbufu wa ndoa hakipo,zaidi ni maendeleo na Kumcha Mungu.
Ndugu yangu nashukuru sana kwa ushauri wako. Nitaufanyia kazi nakuahidi. Aksante sana Mpendwa. Je hata kama imani ni tofauti nitawezapata faraja kweli? (najua kwa MUNGU hakuna lisilowezekana) ila si unajua tena siye ambao bado hatujampokea Christ huwa tunakuwa kina Tomaso- hatuamini haraka mpaka tuguse!
Kwa sababu saa nyingine huwa nahisi kama ni adhabu toka kwa MUNGU kwa kumuasi (sijui kivipi )
...Mwj'1 geuza hiyo unayoona 'adhabu' ni jaribio alilokukadiria na kuna mlango wake wa kutokea. Hakikisha hutokei dirishani au kwa kuuvunja ukuta!
Mnj1 bado tu ujalivua PENDO?
Baada ya kufuatilia sana naona ushauri wangu wa mwisho ni huu. When one door is closed, another one is open somewhere. Just look arround. Kung'ang'ania mlango uliokwisha fungwa inaweza kuwa mwanzo wa mwisho wako. Tafuta milango iliyofunguka utokee huko.
Yeah habari ndo hiyo, kuna wengine utasikia 'namwahi baba nyumbani' au 'ngoja niongee na baba'...ukija kucheki ni baba yupi kumbe ni mumewe, tatizo wengine wanaolewa na wababa kweli wamewapita umri zaidi ya 10 yrs lakini hicho sio kigezo,, nini busu wengine hata kuongozana tu kasheshe, wakati mi nikitinga njiani tumeshikana mikono, hakuna kitu kizuri kama cha kwako jamani!
weekend njema pia agika, usinywe pombe na kuendesha,, sawa?
Mnj1 bado tu ujalivua PENDO?
mie nmezoea hivyo lakini kutokana na mazingira fulani, naweza kusema watoto ndio wamenifanya nitumie hilo neno, 2kiwa kwenye mazingira mengine tunaitana majina yetu ya kawaida tu.