Nalivua pendo...

Kuna muda unafika unapaswa ku assess mahusiano uliyomo,uvumilivu upo ila si wote wanastahili kuvumiliwa na si yote yanavumilika. Mwisho wa siku adhabu ya kaburi aijuaye maiti.
Kama huwezi tena shika njia before its too late. Kuanza upya si ujinga.

Well said bidada... Vyote vinavumilika ila kuna kimoja tu ambacho kimenishinda aisee!!!
 
Kipi kimekusibu mamito?
 

Vua kabisa mammy.......ya nini kufa ulongo.....tchaaaa......
 
Last edited by a moderator:
pole dear potezea mwanaume wa ukweli haitaji nguvu nyingi! kama ipo ipo kama haipo haipo ...songa mbele kwani ni nini? mtu kakukuta na meno yako 32... utaishi tu ivo hivo.
msimu wa sikukuu huu raha kweli ukiwa single ujue

uuuuh....hebu sema tena na tena na tena......
 
Na wewe..........tayari umeshahukumu!

Ila bana unaweza kusoma mahali halafu 'flash back' ikapiga kichwani paaa, ukajua ni kama yuleyule wa kwangu.
'Najaribu tu kufikiri'!!:tape::tape:

It is a girly thing, inasaidia kumtukana akiyempa maumivu shosti wako.
Good line of thinking, lkn you are half wrong.
 
mmmh! daughter kulikoni jamani!!
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeh, sometimes unang'ang'ana na kichomi bila kujua
Wakati kuna mtu pembeni yako he is dying to shower you with love, real love.

I know, ndio maana nimemwambia hivyo. Yaani mimi naamini kuna bad things zinahappen ili kutupaisha kwenda level nyingine, so she should take it positively.
 

Dah.... Meumia saaaaana!!!!
 

Pole sana ndgu yangu,najua unachoptia ni kgumu sana ila ni vzr kama unasehemu unaweza kwenda ukamuacha kwa mda ukfkria zaid,yan u need sometime along uyapumzishe machungu unayoyahsi sasa,kama ni mume wako ondoka hata 3mnths umuache labda atarud baadae kujutia,hapo kukaa unaumia zaidi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…