Nalivua pendo...


Hapo kwenye color ndipo nilipofanya makosa.... We learn from our mistakes!!!
 
Ukiwa 'fed up' wala hutaanzisha sredi, hii ni dalili ya kuwa unajifariji na bado uko kwenye denial kuwa hakufai.

Gangamala tu utamsahau tu.

Afu kuna uzi wenye kichwa cha habari hiki hiki uliwahi anzishwa na MwanajamiiOne
 
Last edited by a moderator:
pole dear potezea mwanaume wa ukweli haitaji nguvu nyingi! kama ipo ipo kama haipo haipo ...songa mbele kwani ni nini? mtu kakukuta na meno yako 32... utaishi tu ivo hivo.
msimu wa sikukuu huu raha kweli ukiwa single ujue
 
pole dear potezea mwanaume wa ukweli haitaji nguvu nyingi! kama ipo ipo kama haipo haipo ...songa mbele kwani ni nini? mtu kakukuta na meno yako 32... utaishi tu ivo hivo.
msimu wa sikukuu huu raha kweli ukiwa single ujue

Hapo kwenye blue nimepapenda... Ukija tutaongea kidada zaidi!!!!
 

Tatizo wazazi wetu wengi hawatuelezi ni kwanini wao hawakuvua pendo/ hawatufundishi maadili ndo maana hatuna uvumulivu jatika ndoa mkikwaruzana kidogo kila mmoja mbabe mwisho wa yote huntishi! Huyu nae huntishi ndoa inakufa.
 
Daddy nahisi nilivalishwa!

Mimi hapa kwa jinsi ninavyomfahamu mpenzi wangu Charminglady huwa analeta mada ya masihara na baadae jioni tutakuwa wote pale Villa Park tunakula Sato..Ila Charminglady unataka kukaribisha nini wakati bado tupo wote mbona sikuelewi..
Tafadhali sema ukweli hii unachosema ni cha kweli mbona jana hukuniambia kuwa it is over???
Just thinking tu au ile hela ya X-mass na vacation ya Kwenda Zanzibar ambayo nilikwambia bado nafikiria ndio umefikia haya maamuzi..
 
tatizo wazazi wetu wengi hawatuelezi ni kwanini wao hawakuvua pendo/ hawatufundishi maadili ndo maana hatuna uvumulivu jatika ndoa mkikwaruzana kidogo kila mmoja mbabe mwisho wa yote huntishi! Huyu nae huntishi ndoa inakufa.

watawafundisha saa ngapi wakati ukiwa form four tu ulishaanza kugegedwa na tayari umeshamtambulisha kwa wazazi kuwa huyo ni rafiki yako mnasoma naye tuisheni wakati anakugegeda
 

Akili Unazo! ????????
 
Last edited by a moderator:

Uzuri wa ngoma ajuaye....so mwache mwenzio alivue tu ilo PENDO
 
Kuna muda unafika unapaswa ku assess mahusiano uliyomo,uvumilivu upo ila si wote wanastahili kuvumiliwa na si yote yanavumilika. Mwisho wa siku adhabu ya kaburi aijuaye maiti.
Kama huwezi tena shika njia before its too late. Kuanza upya si ujinga.
 
Tatizo tunafanya tusiyoyajua bila kujua kwa nini tunayafanya, et kwakua wengine wanayafanya. Ila ukijua unachokifanya kwakua uko tayari kwa unalolifanya hutokaa nakufikiria ubaya wa ulichokifanya nakutafuta visingizio wala kuja kuliweka wazi hapa.
 

umesema vyema sana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…