Nalivua pendo...

hahahah!

mj1 "teeeeeeeeiiiiinaaaaaaaaaaaaaaaa"....!'And say it loud.
 
Historia ipo hapo kwa kujifunza. Trust me, wewe ni mmoja wa wanawake ninaowaheshimu sana kwa kuweza kufanya maamuzi magumu yenye manufaa! Niliusoma huo uzi ulipouweka tuu, I was on bed still and there was trouble on paradise. Niliuimba huo wimbo kutwa nzima hadi kikawekwa kikao cha dharura manake mtu alijua naachwa kwa kosa la kutoleta mboga hahaha! Aaah, mi ntakupoa hongera tu kila siku, you empower others not to take no bullshit from no one!
 
tiba si kulivua pendo, i think Daudi Kabaka aliona mbali zaidi

msichana wa sura nzuri,
kitu gani kinakufanya usiolewe,
Elimu unayo ya kutosha, hata ng`ambo ukaenda ukarudi,

Msichana wa urembo kama wewe,
Uonyeshe mapenzi kwa vijana,
Ukionyesha majivuno kwa vijana,
utazeeka ukiwa nyumbani kwenu,

miaka yaenda mbio sana,
Na sura yako nayo ikichujuka......ooh baby

Pengine tabia zako ndio mbaya,
Awali kweli dada ulijivuna,
kwanza mimi nilitaka nikuoe,
ukaringa ati sina masomo,

Ona watoto wa nyuma yako,
wameolewa wamekuacha ukiangaika....
 
Livae rafiki, likikutosha Raha sana
Likikupwaya litengeneze likufit,
LIKIKUBANA LIVUE...
 

King'asti, Hata mimi nataman ihuu wimbo usingenihusu kwa sasa... Ila ndio hivyo tena
 

Hapo ningeweza ningegonga like 3!
 
Afu we Da Pretty ndo nini ku-baby comisha pasts bana??

MJ1, hivi ni vijimambo... vipo kila siku!!
 
Sipati picha baada ya kulivua hilo whats next, usije ukavaa kaniki?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…