Nalivua pendo...

mi wala usitie hofu, ni mzima kama ujuavyo,, eem usisahau ile dawa yangu eeh!🙄

mh nimewashtukia.. ulivyoibold, itslize na kuipa green color hiyo Mr. Inaonyesha kabisa jinsi ambavyo hukuitegemea toka kwa dadangu lol!! .......... 😛
 
mh nimewashtukia.. ulivyoibold, itslize na kuipa green color hiyo Mr. Inaonyesha kabisa jinsi ambavyo hukuitegemea toka kwa dadangu lol!! .......... 😛

Asa jamani, eeh...kisa cha kuconcentrate ivo kwen neno moja ni nini na mengine hujayaona? LOL🙂

Hiyo ni msisitizo tu,,, si unajua...😛
 
Asa jamani, eeh...kisa cha kuconcentrate ivo kwen neno moja ni nini na mengine hujayaona? LOL🙂

Hiyo ni msisitizo tu,,, si unajua...😛

We unajua nnachokitafuta si mmekataa kudeclare hahahah am trying to prove it myself hehehehe...........😎
 
We unajua nnachokitafuta si mmekataa kudeclare hahahah am trying to prove it myself hehehehe...........😎

alrite alrite....kikao ni kirefu kidogo......angalia usijekutana na mkweo tu....🙄
 
Kama unapata karaha badala ya raha huna budi kulivua pendo ,penzi ni two way traffic na ukipenda usipopendeka utateseka,wewe hutakuwa wakwanza na wala sio wa mwisho,uvumilivu kwetu wanadam una kikomo chake ,hakikisha tu kuwa wewe sio chanzo cha tatizo na umejaribu kwa dhat kusuluhisha na kuiokoa ndoa yenu kabla ya kuivunja kabisa usije kula matapishi yako baadae tutakushika pua dada ee.
 

Hilo nalo neno,, wonderwoman sasa mkishikana pua atapumuaje>?
 
Maneno mazito sana hayo mama.
POLE SANA.
Lakini hiyo ndiyo raha ya maisha.
UNAMPENDA SANA MTU,wakati yeye anahisia kama zako.
Kupenda sana kuna raha yake,hata kama hupokei mapenzi sawia kutoka kwa yule umpendae.
Kuna siku utakaa na kukumbuka jinsi ulivyokuwa umempenda huyo ndugu, na beleave me,unapata raha kwa kumbukumbu hiyo.
 

Wayne
Hili lako nalo jingine...... unapata raha kwa kukumbuka kumpenda mtu asiyekudhamini ndugu yangu?
 
Mwanajamii pole sana.Mimi pia yamenikuta hayo kwa mke wangu.ukifanikiwa kulivua pls nitafute,itapendeza sana tukiwa pamoja maana wote tuna uzoefu wa misuko suko ya kwenye ndoa.
wacha weeeee,sema natania
itabidi apate kazi ya kuchagua wanaJF
 

MJ

umefikia wapi na healing process yako ya kulivua pendo?
 
MJ

umefikia wapi na healing process yako ya kulivua pendo?
Nimeshangaa maana ilishakuwa uvunguni De Novo.

Namshukuru MUNGU am still getting healed taratibu. Najitahidi kusahau na kusonga mbeole, ingawa nakiri imekuwa ngumu kiasi.

Thanx for concern.
 
dah,

De Novo bana,.....

umeona eeeh!!! anajali. huyu yuko kiu-serious zaidi hii nimeipenda sana (kufanya follow up ni njia mojawapo ya kupima mafanikio na kujua upungufu ili ujipange upya)

We hangover imekwisha? Mbona unasoma post za watu hadi unageuza page nyuma??

hahaaaa we naye nilimis vituko vyako kweli!!!! huku kuna back page pia?? hiyo mbado sijaona MJ1
 

hahahah hebu muacheni De Novo ni mtumishi wa Bwana anayechunga kondoo wake vizuri amah!!

Nilikumiss pis my dia si wajua tena valentino ilinibidi kwenda kudeka kwa mama kidogo lol! But am much better now thanx
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…