Nalivua pendo...

Kunywa Konyagi kiloba au piga Valeur ukikosa hiyo piga Vodka kitatulia tu na utachangamka.

Mkuu ndo wataka nipotee kabisa hapa jamvini! Duh! Mi sina miadi na mtu ndo nipige mambo yote hayo mkuu!
 
..Ah Fidel mpenzi sasa hapa ntakuwa napendwa kweli au nguvu za limbwata? likichuja je?

Utapata artificial love sio geniune love.
Lakini kikubwa una mmiliki katika himaya yako. Usichukue ile inayo expire chukua permanent mzizi.
 
Mkuu ndo wataka nipotee kabisa hapa jamvini! Duh! Mi sina miadi na mtu ndo nipige mambo yote hayo mkuu!

hehehe Mkuu shemeji si yupo lakini? Kuku wako ya nini umshikie manati bana.
 
Mkuu ndo wataka nipotee kabisa hapa jamvini! Duh! Mi sina miadi na mtu ndo nipige mambo yote hayo mkuu!
.......... hana jema kwako huyu kakaangu......

OP:
Mbona kaka na nyamayao hamkutupa mrishonyuma? je ninyi ni kapo au la?😱
 
Eti Fidel mbona ile thread ya "Tumempoteza Binti huyu.... sijui siioni au napofuka siku hizi? Nisaidie kaka yangu
 
hehehe Mkuu shemeji si yupo lakini? Kuku wako ya nini umshikie manati bana.

Mkuu yupo sana ndo nilikuwa nimeenda kumwona fasata anipe walau maji kichwa kitulie tulie!
 
.......... hana jema kwako huyu kakaangu......

OP:
Mbona kaka na nyamayao hamkutupa mrishonyuma? je ninyi ni kapo au la?😱

Subiri kidogo MJ1 Tuone kama tuliweke public ama vipi, bado tunafanya internal negotiations!🙄
 
Eti Fidel mbona ile thread ya "Tumempoteza Binti huyu.... sijui siioni au napofuka siku hizi? Nisaidie kaka yangu

Tafuta swity ipo mbona haijapotea ipo tu.
Ngoja niibue mama. Punguza kula maharagwe sana.
 
Mkuu lakini unaendeleaje saizi?
Au kiloba unapiga jioni?

Mkuu sasa afadhali kidogo ndo unaona walau nachungulia hapa, asubuhi ilikuwa mbaya kinoma,, asante sana kwa kujali,, nitaangalia jioni naweza nikapiga kamoja kwa mbaaali

By the way hii thread ya Mwalyambi mbona haionekani imekuwaje? kuhusu yule binti kama alivouliza MJ1 hapo juu
 
Tafuta swity ipo mbona haijapotea ipo tu.
Ngoja niibue mama. Punguza kula maharagwe sana.

.. Aksante ingawa na masimango loh....... si unajua tena mie mwanafunzi ugali maharagwe ndo menu kuu bodi kaka wee.
 
Nisaidie kaka maana mie nshatupiwa dongo ati nala maharagwe sana ndo mana napofuka!
 
...ndio hapo mifarakano isipoisha ndani ya nyumba, kisa kidooogo mtu anatingisha kibiriti weeeeeh, mara puuu kimelipuka huyo mbio anakimbilia kutafuta 'zimamoto'

Bahati mbaya 'zimamoto' zenyewe za kibongo hata zikija hazina maji! Shemeji yetu huyo kama anatusoma hapa namuomba apunguze pride, ...Mw'j1 keshaomba faragha kuongea jamaa umenuna tuuu,...acha hizo kaka

Mw'j1 nawe naomba nikung'ate sikio, punguza munkari wa kutamka "Ni kisa kidogo sana ambacho hata mtoto mdogo atashangaa", unajua kila mmoja wetu katokea kwenye malezi tofauti,... wewe unaweza kuambiwa toka, ukahoji kwanini...wakati mie nikiambiwa toka basi naacha kila kitu natoka mbio... huo ni mfano tu wewe uliyelelewa uraiani na mie niliyelelewa 'Police Barracks'...Hicho kilicho kidogo kwako mwenzako kimemgusa ndipo 🙂
 
Mbu aksante kwa ushauri wako. Kusema kweli kama ni kiberiti basi karibu kitalipuka maana..... nway naomba niishie hapa nisijeonekana mlalamishi sana but ........ yana mwisho haya !
 
Mbu aksante kwa ushauri wako. Kusema kweli kama ni kiberiti basi karibu kitalipuka maana..... nway naomba niishie hapa nisijeonekana mlalamishi sana but ........ yana mwisho haya !

Pole,,, umenikumbusha KULI. Angalia PM yako.😎
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…