Mkuu ndo maana nikasema kuwa mwisho wa sugu nao waja kama walivyoondoka wenake wa ccm kwani mbeya mjn tunaendelea kutafuta hatujapata mbunge wa kutusaidia tutaendelea kujalibu day to day.ulikuwa unataka kusema nini mkuu?hivi hizi tafiti huwa zinafanywa wapi?au mtu ukimka tu mawazo yako yanakuwa ya wapiga kura 60,000.hivi hao wabunge wa ccm kipindi chote walichokuwa na jimbo walifanya nini?na kwanini hawakuchaguliwa?
Mkuu tupeane cm kesho tukutane uyole ntakuwa natoka kyela na hayo mambo tiss mimi hayanihusu wala siwajui kwanza watu wenyewe wanafanya kazi kwa kujificha halafu mimi nihangaike nao,mi naongelea mbeya na taifa letu.Nipo Mbeya naishi mbembela,unayosema hayana mashika,kama upo Mbeya utajua ni jinsi gani TISS wametumia siku4 kuwabembeleza vijana wa bodaboda na bajaji ili waunge mkono,vikao zaidi ya vinne na posho za elfu hamsini walau wahudhulie kwenye maandamano ya may mosi!!!!Nakupa changamoto moja nenda Uyole ukaseme hivyo!!!
Acha uongo meta hospito niwahi kwenda nikiwa nasoma iyunga kumsalim dada alikuwa ktk kitanda unaongea meta ipi,barabara wanajenga h/mashauri siyo sugu we vipi acha uchanga wa mambo.Nakanusha uyasemayo nipo Soweto mbeya!!!mabadiliko tunayaona,pia sugu kaanzisha mfuko wa elimu unawasaidia watu,Hospital ya Meta kulikuwa hakuna vitanda now vipo,tangu kuumbwa kwa dunia mbeya kulikuwa hakuna lami katika mitaa zaid ya main road now zinatengenezwa,useme hiyo kaul ukiwa mbeya utapigwa mawe aisee
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Acha uongo meta hospito niwahi kwenda nikiwa nasoma iyunga kumsalim dada alikuwa ktk kitanda unaongea meta ipi,barabara wanajenga h/mashauri siyo sugu we vipi acha uchanga wa mambo.
Rsio mbeya tu, hata iringa mjini, msigwa ni mzigo kwa taifa
Mheshiwa sugu ni miongoni mwa wabunge waliochaguliwa kwa kishindo kiasi kwamba wananchi walifulika eneo la kuhesabia kura kulazimisha matokeo yatangazwe halaka na ikawa hivyo sugu akawa mbunge.tangu aingie bungeni impact yake kwenye jimbo lake la uchaguzi haijaonekana na pengine imefika mahala baadhi ya watu wameanza kufikiria tofauti juu ya mbunge huyo na pengine kusema wazi kuwa hana anachofanya zaid ya kubishana bungeni kwa mambo ambayo hayana msaada kwa jimbo lake la uchaguzi.kikubwa kinachosubiliwa mbeya mjini ni uchaguzi mkuu ili wakaazi wa mbeya waamue vinginevyo na uzuri wa watu wa mbeya wanachagua mtu si chama kwa hiyo itategemea sugu atapambana na nani toka vyama vingine ktk uchaguzi mkuu ujao.
Mtaalamu mmoja wa lugha aliwahi kusema kuwa watu wengi hasa waafrika hawataki watu wao wasemwe kwa chochote hata kama wanamapungufu ndicho ninachokiona kwa baadhi ya watu humu jf.
si wewe tuu unaliona,ruge aliliona sana hasa pale 2proud alipopiga chini kituo kilichokua hot kwa matozi.hadi leo ukimuuliza maono yameishia wapi atakuambia yupo busy na jk na magamba angalau apate ujjuu wa wilaya wakati sugu ndio anampangia pale mjengoni sheria za hakimiliki na kuzuia wizi kwa wasanii kunakofanywa na wezi clouds.Mheshiwa sugu ni miongoni mwa wabunge waliochaguliwa kwa kishindo kiasi kwamba wananchi walifulika eneo la kuhesabia kura kulazimisha matokeo yatangazwe halaka na ikawa hivyo sugu akawa mbunge.tangu aingie bungeni impact yake kwenye jimbo lake la uchaguzi haijaonekana na pengine imefika mahala baadhi ya watu wameanza kufikiria tofauti juu ya mbunge huyo na pengine kusema wazi kuwa hana anachofanya zaid ya kubishana bungeni kwa mambo ambayo hayana msaada kwa jimbo lake la uchaguzi.kikubwa kinachosubiliwa mbeya mjini ni uchaguzi mkuu ili wakaazi wa mbeya waamue vinginevyo na uzuri wa watu wa mbeya wanachagua mtu si chama kwa hiyo itategemea sugu atapambana na nani toka vyama vingine ktk uchaguzi mkuu ujao.
Hata kadi ya ccm siijui inafananaje wasiwasi wako tu sipo huko unapofikiria ila kwa sababu ccm ndo wanafanya usilale shauri yako,nambie uzaifu up wa viungo au wa kitu gani jipambanue siyo unaandika vipande vidogo kama mazoea mitomingi.
Nipo Mbeya naishi mbembela,unayosema hayana mashika,kama upo Mbeya utajua ni jinsi gani TISS wametumia siku4 kuwabembeleza vijana wa bodaboda na bajaji ili waunge mkono,vikao zaidi ya vinne na posho za elfu hamsini walau wahudhulie kwenye maandamano ya may mosi!!!!Nakupa changamoto moja nenda Uyole ukaseme hivyo!!!