Tsidikeu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 1,312
- 890
Kinana is an accident!!Sugu is an accident...
A lie has speed,but truth has endurance
Kinana is an accident!!Sugu is an accident...
Umeandika sawasawa mkuu, hata mimi iki kitu nakiona, na sio Sugu tu, na wengine wengi wa CHADEMA hawatarudi 2015 pale bungeni.
mi naishi block t,jiran na makao ya Sugu na Mary Mwanjelwa,kiukweli sion tofauti ya Sugu na Mpesya,wote chenga tu..
mkuu mi natokea Mbeya maeneo ya Samora Secondary ? Na sina ushabiki ila sielewi labda uniambie ilitakiwa afanye nini zaidi ya aliyoyafanya au toa mfano wa jimbo ambalo linafaa kuwa mfano wa kuigwa ukilitofautisha na lilipokuwa chini ya Mpesya ?
dah kuna watu yaan wanalipwa kwa kupost thead za ccm na kupondea comment za chadema japo zina maslai kwa wananchi polen sana ndo madhara ya kuendekeza tumbo
Naungana na mtoa mada kwa matusi yake yy na msigwa sidhani kama watarudi
Sugu is an accident...
tuambie wewe mbunge wa jimbo lako anaitwa nan? ili tumfananishe na huyu SUGU, sio kubwata tu hapa. na mta koma safari hii,wameshika sehemu nyeti.
sasa wewe ni mwongo kabisa, hata kadi ya ccm hujui inafananaje!?Hata kadi ya ccm siijui inafananaje wasiwasi wako tu sipo huko unapofikiria ila kwa sababu ccm ndo wanafanya usilale shauri yako,nambie uzaifu up wa viungo au wa kitu gani jipambanue siyo unaandika vipande vidogo kama mazoea mitomingi.
Kaka kama kunamtu Mbeya asiye na ushabiki ukiongea naye atakupa clear picha.
Naungana na mtoa mada kwa matusi yake yy na msigwa sidhani kama watarudi
Mheshiwa sugu ni miongoni mwa wabunge waliochaguliwa kwa kishindo kiasi kwamba wananchi walifulika eneo la kuhesabia kura kulazimisha matokeo yatangazwe halaka na ikawa hivyo sugu akawa mbunge.tangu aingie bungeni impact yake kwenye jimbo lake la uchaguzi haijaonekana na pengine imefika mahala baadhi ya watu wameanza kufikiria tofauti juu ya mbunge huyo na pengine kusema wazi kuwa hana anachofanya zaid ya kubishana bungeni kwa mambo ambayo hayana msaada kwa jimbo lake la uchaguzi.kikubwa kinachosubiliwa mbeya mjini ni uchaguzi mkuu ili wakaazi wa mbeya waamue vinginevyo na uzuri wa watu wa mbeya wanachagua mtu si chama kwa hiyo itategemea sugu atapambana na nani toka vyama vingine ktk uchaguzi mkuu ujao.