Naliona anguko la mbunge wa Mbeya Mjini

Naliona anguko la mbunge wa Mbeya Mjini

sasa wewe si useme huyo Sugu amefanya nini? mmefanya makosa makubwa kuchagua mbunge kihiyo na adhabu yake ndio hiyo

Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ameonesha falsafa ya kuongoza kwa vitendo baada ya kutoa msaada utakaowezesha kujengwa kwa daraja kwenye Kata ya Itende.
sugu%20daraja.jpg

Wananchi wa Itende, walimlilia Sugu kuwa daraja hilo limekuwa kikwazo kwa maendeleo yao, pia linahatarisha maisha ya watu ambao huvuka kila siku.
Daraja hilo, limewekwa miti juu, hivyo kuhatarisha maisha ya watu wanaopita, wakilitumia daraja hilo kama njia yao kuu.
Sugu, aliwatembelea wananchi wa Itende na kutoa fedha taslimu ambazo zitawezesha kujengwa kwa daraja hilo kwa kiwango cha zege.
Hata hivyo, vyanzo vya habari hii havijaweka wazi kiasi ambacho Sugu alikitoa kufanikisha ujenzi huo, isipokuwa vilieleza: “Mheshimiwa Sugu ametoa fedha zote zitakazofanikisha ujenzi wa daraja hilo.”
Baada ya kutoa msaada huo, Sugu aliwataka wananchi wa Itende kushirikiana naye katika kuleta maendeleo Mbeya Mjini.​

Mtaalamu mmoja wa lugha aliwahi kusema kuwa watu wengi hasa waafrika hawataki watu wao wasemwe kwa chochote hata kama wanamapungufu ndicho ninachokiona kwa baadhi ya watu humu jf.

Huyo ni mtaalamu wa lugha....na wewe mtaalam wa pumba unasemaje....?
 
sasa wewe si useme huyo Sugu amefanya nini? mmefanya makosa makubwa kuchagua mbunge kihiyo na adhabu yake ndio hiyo

Mbona WEWE hujasema Kikwete amefanya nini katika kuleta maisha bora kwa kila mtanzania na amekaa ikulu miaka 8 sasa? Akili yako kama ya MBUZI KATOLIKI!!
 
Mheshiwa sugu ni miongoni mwa wabunge waliochaguliwa kwa kishindo kiasi kwamba wananchi walifulika eneo la kuhesabia kura kulazimisha matokeo yatangazwe halaka na ikawa hivyo sugu akawa mbunge.tangu aingie bungeni impact yake kwenye jimbo lake la uchaguzi haijaonekana na pengine imefika mahala baadhi ya watu wameanza kufikiria tofauti juu ya mbunge huyo na pengine kusema wazi kuwa hana anachofanya zaid ya kubishana bungeni kwa mambo ambayo hayana msaada kwa jimbo lake la uchaguzi.kikubwa kinachosubiliwa mbeya mjini ni uchaguzi mkuu ili wakaazi wa mbeya waamue vinginevyo na uzuri wa watu wa mbeya wanachagua mtu si chama kwa hiyo itategemea sugu atapambana na nani toka vyama vingine ktk uchaguzi mkuu ujao.

[h=3]MBEYA KUELEKEA KUWA JIJI KAMILI... UJENZI WA BARABARA ZA KIWANGO CHA LAMI UNAENDELEA KILA KONA YA JIJI...[/h]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Ni kazi tuu hakuna kungoja [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Labda kama sugu atagombea bagamoyo ndo atakosa lakini sio mbeya. Eti wanamuandaa 'chakula ya wakubwa' dk.me..mwanjelwanjelwa teh teh teh..yanamkuta yaliyomkuta bimdogo wa mamvi pale arusha....teh teh
 
Huyu kimbwete ndo naona kaangusha akili. Ni vyema uanguke mwili mzima kuliko kuangusha akili.
Hivi jf haina milembe hospital yake huyu kimbwete alazwe??
 
naona mme amua kuwa waganga kabisa......
 
Mie nadhani hata wanae wanamng'ong'a, anyway labda wanae wawe wamezaliwa enzi za TAA! Nadhani asingefikiri Sugu kuanguka ila angefikiri ni kwa vipi angezuia majimbo mengine yasiende upinzani.
Mkuu unavyo angaika,sijui unalipwa shs ngapi??hadi huruma,yaani kama unawatoto wangejua kama kazi unayo fanya ni hii,wangekataa kama sio baba yao,maana unatia huruma sana,kila kona upo.
 
Hivi hili bonde na hili daraja vimetokea mwaka gani? ni vya muda gani enzi CCM au hizi za Sugu? Twende Sugu...safari yetu ni fupi sana, kama mtwara/ lindi Tabora wameamka, sijui watabaki na nini?
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ameonesha falsafa ya kuongoza kwa vitendo baada ya kutoa msaada utakaowezesha kujengwa kwa daraja kwenye Kata ya Itende.
sugu%20daraja.jpg

Wananchi wa Itende, walimlilia Sugu kuwa daraja hilo limekuwa kikwazo kwa maendeleo yao, pia linahatarisha maisha ya watu ambao huvuka kila siku.
Daraja hilo, limewekwa miti juu, hivyo kuhatarisha maisha ya watu wanaopita, wakilitumia daraja hilo kama njia yao kuu.
Sugu, aliwatembelea wananchi wa Itende na kutoa fedha taslimu ambazo zitawezesha kujengwa kwa daraja hilo kwa kiwango cha zege.
Hata hivyo, vyanzo vya habari hii havijaweka wazi kiasi ambacho Sugu alikitoa kufanikisha ujenzi huo, isipokuwa vilieleza: “Mheshimiwa Sugu ametoa fedha zote zitakazofanikisha ujenzi wa daraja hilo.”
Baada ya kutoa msaada huo, Sugu aliwataka wananchi wa Itende kushirikiana naye katika kuleta maendeleo Mbeya Mjini.​

Mbona WEWE hujasema Kikwete amefanya nini katika kuleta maisha bora kwa kila mtanzania na amekaa ikulu miaka 8 sasa? Akili yako kama ya MBUZI KATOLIKI!!

Aseee wewe jamaa una matusi ya rejareja sana.
Yani akili yake kama ya nanihii...
ImageUploadedByJamiiForums1367396818.845376.jpg
 
nenda mbeya upate ukweli tatizo watu wamechoka na ccm na wanataka changes sijui unataka huyo mtu aje mby wa chama gani CCM kazi ya mbunge ni kusimamaia serikali sio kutoa fedha hachukui kodi
 
Rais wa jamhuri ya watu wa mbeya. Mbeya city barabara zinatengenezwa kwa kasi chezea sugu wewe utaumia
 
Kama kweli "UNALIONA ANGUKO" basi una macho ya makengeza na unashauriwa uangalie vizuri ikiwezekana vaa miwani ya mbao
 
Mheshiwa Sugu ni miongoni mwa wabunge waliochaguliwa kwa kishindo kiasi kwamba wananchi walifulika eneo la kuhesabia kura kulazimisha matokeo yatangazwe halaka na ikawa hivyo Sugu akawa mbunge.

Tangu aingie bungeni impact yake kwenye jimbo lake la uchaguzi haijaonekana na pengine imefika mahala baadhi ya watu wameanza kufikiria tofauti juu ya mbunge huyo na pengine kusema wazi kuwa hana anachofanya zaidi ya kubishana bungeni kwa mambo ambayo hayana msaada kwa jimbo lake la uchaguzi.

Kikubwa kinachosubiriwa Mbeya Mjini ni uchaguzi mkuu ili wakazi wa Mbeya waamue vinginevyo na uzuri wa watu wa Mbeya wanachagua mtu si chama kwa hiyo itategemea Sugu atapambana na nani toka vyama vingine ktk uchaguzi mkuu ujao.

muchagueni tena yule anayegeuka bubu bungeni a.k.a mpesya/dc-muone km hamtamkubuka anabishana bungeni
 
Mtoa mada naona anashindwa kuelewa MBY ya CCM na hii Sugu naomba endelea kujifunza utaona tofauti hizo, je! ulitaka aende kuipongeza na kuisaidia serikali bungen wakati mambo hayaendi sawa? au ulitaka au mzee ndiooooooooooooooooo!hata hoja za kiupuuzi? think loud!!
 
Mheshiwa Sugu ni miongoni mwa wabunge waliochaguliwa kwa kishindo kiasi kwamba wananchi walifulika eneo la kuhesabia kura kulazimisha matokeo yatangazwe halaka na ikawa hivyo Sugu akawa mbunge.

Tangu aingie bungeni impact yake kwenye jimbo lake la uchaguzi haijaonekana na pengine imefika mahala baadhi ya watu wameanza kufikiria tofauti juu ya mbunge huyo na pengine kusema wazi kuwa hana anachofanya zaidi ya kubishana bungeni kwa mambo ambayo hayana msaada kwa jimbo lake la uchaguzi.

Kikubwa kinachosubiriwa Mbeya Mjini ni uchaguzi mkuu ili wakazi wa Mbeya waamue vinginevyo na uzuri wa watu wa Mbeya wanachagua mtu si chama kwa hiyo itategemea Sugu atapambana na nani toka vyama vingine ktk uchaguzi mkuu ujao.

Jangili at work
 
Kuna wabunge wengi tu wa CCM wamekuwa madarakani kwa miaka zaidi ya 20 vipi hao hujawaona?
Unakuja kumnyooshea kidole mtu ambaye ndio kwanza ni mhula wake wa kwanza wa Ubunge, na zaidi yupo chini ya Ilani ya Serikali ya CCM maana ndio washika hatamu.
Aina hii ya Watanzania ndio kikwazo cha ukombozi wa kweli kutoka kwenye mikono kandamizi ya Mkoloni Mweusi.
Watanzania wanahitaji kupiga hatua mbele na sio nyuma.
 
Back
Top Bottom