Kazi ya Mbunge ni kuchochea maendeleo kwenye jimbo lake! serikali ya CCM inawajibu wa kuleta maendeleo pamoja na maisha bora kwa kila mtanzania! CCM na wabunge wake ndio wana wakati mgumu 2015.
Pia subili uone joto la siasa 2015,upepo utavuma wapi?? Kashfa ya ujangili dhidi KINANA ni advantage kwa Chadema kulekea 2015.
Mtaalamu mmoja wa lugha aliwahi kusema kuwa watu wengi hasa waafrika hawataki watu wao wasemwe kwa chochote hata kama wanamapungufu ndicho ninachokiona kwa baadhi ya watu humu jf.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.