Mwan mpambanaji
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 482
- 131
Muhogomchungu,natia shaka uwezo wako wa kufikiri
Ikiwa mwanahalisi linapinga kwa nguvu zote downs. Gazeti mama la chadema, mdomo wa chadema na msemaji wa chadema.media ya chaema yaani tanzaniadaima linapiga filimbi downs iwashwe, inakazania ilipwe .huu ni utani na kiini macho kwa watanzania wanchotumia chadema ni utani wa kisiasa.
Nadhani umefika wakati kubenea kuachana na nguvu za kuinadama downs huku msemaji wa chadema tzdaima akiwa opposite
Kweli kabisa! hapa kuna walakiniMuhogomchungu,natia shaka uwezo wako wa kufikiri
Ngoja niende zangu kuleee kwenye mambo ya kikubwaSikuelewi unamaanisha nini?? Mbona unashindwa kutenganisha taasisi na mtu binafsi?? Nijuavyo mimi mpaka sasa CDM hawana media kama uhuru na Mzalendo, T.Daima ni la mbowe binafsi na sio CDM kama ulivyokurupuka.
muache kubenea aendeleze uzalendo usimptoshe kwani kama T.Daima wanaenda kinyume na yeye awaige kwenye upotofu?? Keep it up Kubebenea na Mwanahalisi, huyu jamaa ni ndugu yake na Rai wanajaribu kuwarudisha nyuma.
Ikiwa mwanahalisi linapinga kwa nguvu zote downs. Gazeti mama la chadema, mdomo wa chadema na msemaji wa chadema.media ya chaema yaani tanzaniadaima linapiga filimbi downs iwashwe, inakazania ilipwe .huu ni utani na kiini macho kwa watanzania wanchotumia chadema ni utani wa kisiasa.
Nadhani umefika wakati kubenea kuachana na nguvu za kuinadama downs huku msemaji wa chadema tzdaima akiwa opposite
no no no; dont ever compare kubenea with any journalist to have ever existed in tz.
he is dareful and patriotic to his country-wanaipenda tz wako nyuma yake
Are you sure?? do you know that he is a member of CCM? do you know he planned to contest for MP post in mafia?
Is journalism existing in Tanzania?? or just whistleblowing and seducing people that work well with Tanzanians style of believing anything. How many knows todate that Sumaye is clean and not as media told us who he is in those days??
If you think Kubenea is gulu then you dont know what is journalism, you will buy his news paper and you will find nothing happen in his news, it does not make difference if you stay in our street here at mburahati and hear exactly the same from jobless and layman street guys!
kaka muhogo mchungu NENDA LOLIONDO KWA BABU