Naliona anguko la Kibanda

Hi nchi ni sisi wenyewe wazawa tunaweza kuikomboa toka mikononi mwamafisadi, tujaribu kuwapa uongozi wa nchi chama tofauti na CCM. Kubadilsha maraisi haitusaidi, CMM unaweza kuifananisha na Mbarak. Hawa jamaa wanalinda kunjia moja au nyingine. Hapa nikugoma nchi zima kama egypt tu!
 
Asante mkuu Elli kwa kuliona hilo.

Asante Mpwa, niliona hii habari ni ya kizushi flani hivi, yaani ni sawa na ugomvi wa wanawake majumbani ( sio kwamba nina nia mbaya na wanawake) halafu mmoja akimbilie polisi kuchukua RB kuwa mwenzie kamtishia kumuua, si RB zipo tu, si polisi wapo wapo tu, hata usiku wa manane unaweza kwenda na ukawakuta japo watakua wamesinzia kidogo
 
Hivi nyie hamjui kuwa kuna makundi mawili ya waandshi wa habari? Liko kundi linalopinga ufisadi; halafu lile linalowaunga mkono watuhumiwa wa ufisadi. Makundi yote mawili yanapata mshiko. Sasa akili kwenu wanaJamii . Ninachoweza kuwaambieni ni kuwa nchi yetu kwa sasa inapotoshwa na vyombo vya habari ingawa kwa hakika vyombo hivi vinafanya kazi kubwa 'positively' ndani ya jamii. Lakini wapo waandishi wa habari ambao pamoja na kuchukia ufisadi wamewekwa mkononi na mafisadi kwa sababu ya fedha. Aidha, wale nao wanaochukia ufisadi wanapewa fedha kupinga ufisadi. Kazi kubwa kweli kweli. Wako waandishi wa habari waliojengewa majumba na kununuliwa magari, katika pande zote mbili.
 
Tanzania Daima nilishalistukia siku nyingi halina tofauti na Mtanzania,Rai .......
 
Hapo kwenye red kibanda amewekwa mkononi na RA kwa hiyo sio mtu wa wa kumuamini hata kidogo
 
Binafsi kwenye vita ya kulikomboa taifa hili naanza kumuondoa Mbowe polepole. Mwelekeo wa hili gazeti unanitia wasiwasi.

We wait and see.
 
Nakubaliana na hilo, na Kibanda is on the top of the list ya waandishi walionunuliwa kufanya kazi hiyo. Cha ajabu ni kwa nini Mbowe anamruhusu kutumia gazeti lake kufanya hivyo badala ya magazine ya hao mafisadi ya Umoja aliyoianzisha. Ukitaka kujua hata gari analoendesha kibanda X-trail limetokana na hayo marupurupu ya mabwana zake, sasa sijui yeye anatofauti gani na Balile aliyemtukana kwamba kaolewa na hao watu
 
Tanzania Daima nilishalistukia siku nyingi halina tofauti na Mtanzania,Rai .......

Check this...mkuu wa kambi rasmi ya upinzani ni Mbowe na msaidizi wake ni Zitto Kabwe...wote mguu ndani mguu nje. Bila watanzania kuwa na independent minds tunaweza kuingizwa mjini tusiamini macho na masikio yetu.

...and don't you say i didn't warn you!
 

hivi mtu akisema uongo hauwezi kumchukulia RB polisi? Au kusema uongo sio kosa la jinai, mbona mtu akisema uongo mahakamani anapewa adhabu?
 
Rostam Azizi asili yake nasikia ni Iran.

Haya mapinduzi ya Peoples Power ambayo yamelikumba eneo la mashariki ya Kati yalianzia Iran enzi za kina Ayatollah Ruhollah Khomein.
RA ajue kuwa hili vuguvugu lililoanzia kwenye asili yake Iran na limeendelea mwaka huu Tunisia,Misri na sasa linaingia Algreia halitamwacha salama.

Huyu RA ajue kuwa Watanzania wa mwaka 1961 -Uhuru,1964 -Muungano, 1967- Azimio la Arusha, 1977-Chama cha Majambazi,1992 Vyama vingi siyo Watanzania wa miaka hii ya 2010/11 -Peoples Power. CCM hatuna muda nao tena we're fed up. Enough is enough. CCM have to GO. CCM GO!GO!GO! ROSTAM GO!GO!GO!
 
RA mwacheni kwanza. Tutamnyongea katika uwanja wetu wa Tahrir -- yaani Jangwani -- siku itakapowadia. Lakini hata hivyo nasikia serikali inataka kuanza kugawa viwanja pale jangwani kwa hofu ya kutokea mikusanyiko ya kuiondoa siku itakapofika!

You are not serious, are you?
 
sioni tofauti kubwa kati ya gazeti la rai na gazeti la tzdaima.
tofauti yake kubwa iliobaki kwamba tzdaima inatoka kila siku
na rai hutoka Alhamis. byebye tzdaima, kwaheri ya kuonana kwenye soko na kwenye uso wa watanzia wanyonge
 
One scenari or side of a coin inaweza kuwa Hivi
RA mwenyewe ndo anatuma watu wake wawatest wafanyakazi wake kuona kama wanaweza kutoa siri. Am baised here but this is very possible.

If u judge and weigh things, ukazingatia na on going current issue jumlisha na knowlege ya forensic science kama huwa unatazama movies zake .

kwa nini nasema ni RA mwenyewe katuma watu.?
Mtu yeyote makini anayetaka copy ya singature ya RA the last place to go ni office ya RA.

Conclusion
This is movie and scene created by the sterling himself.
 

Mkuu Elli; Thanks, umemaliza kila kitu. Hiyo haina vigezo vya kuita habari achilia mbali kuiweka mbele.

Gazeti nchi hii la kila siku ni Mwananchi tu, haya yetu ya kibongo hovyo tu, yako kwenye personalities badala ya issues.

Nilishaandika huko nyuma na narudia Kibanda ni aibu nyingine kwenye tasnia ya habari nchini kwa sasa na hata anapokanusha hapa ni kujipa ujasiri uso soni.

Nasoma T/Daima kwa article za watu wawili tu, nao Asbert Ngurumo na Mwanakijiji, zaidi ya hapo ni utumbo tu.
 
hivi mtu akisema uongo hauwezi kumchukulia RB polisi? Au kusema uongo sio kosa la jinai, mbona mtu akisema uongo mahakamani anapewa adhabu?

hapa sijui, mi ni mwalimu wa kiswahili tu mpwa, labda wana jamvi watusaidie kwa hili ili twende na sisi tukawachukulie RB zinatolewa bure kabissaaa hazihitaji hata pesa ya fotokopi kama fomu za mahali fulani kitengo fulani yaani hata ukienda kuna umeme, machine hazina tatizo lazma wakuombe pesa ya fotokopi....twende mpwa, akija juu na sie tunawahi polisi kushtaki kuwa kuna mtu anatutishia maisha.....
 

Nakasirika sana mtu anapotaka kuwaona Wabongo wote ni vilaza, ipo siku tu, naapa ipo siku People's Power itachukua nafasi yake.
 

Kwani kosa liko wapi kwa gazeti kuandika hiyo habari... Sasa mnataka kusema mwenye gazeti ndio awe mhariri mkuu... Angalieni msijesema awazuie na hao jamaa wasiingie bill... Wala kwenda kula courtyard!!!!
 
Tahrir squre, n.m.c ground arusha, soon we're going to take action, go to hell rostam, goooo..........!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…