Naliamsha dude'' Ngoma mpya ya Weusi

Naliamsha duuuude duuuude,
Makonda nae yupo moto,
Masela kwangua ukoko,
Wapiga deal wala msoto,
Gwajima kawa Mboto,
Dar yote sasa mafuriko.
Yaani...Naliamsha duuude, duude
 
Naliamsha duuuude duuuude,
Makonda nae yupo moto,
Masela kwangua ukoko,
Wapiga deal wala msoto,
Gwajima kawa Mboto,
Dar yote sasa mafuriko.
Yaani...Naliamsha duuude, duude
Dah... Aisee..
 
Hapo ni kidogo nimeona lkn nahisi litakuwa bonge moja ya dude
 
teaser ikipandishwa huwa inapaswa iambatane na link ya audio yote kwenye Bio sasa sijui kwa nini hawajafanya hivyo..

ngoma inaonyesha itakuwa kali sana hii.
 
Msaada...wana JF.. huko KULIAMSHA DUDE...maana yake nn wana JF PLZ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…