Nalia nikimaliza kufanya mapenzi

This post has been deleted by the user.
 
its exist mine unajikuta unajiuliza maswali mengi,... wengi huwa tunawaza kanichezea au atanionaje ? kuna wengine usiku hatulali nahisi nimawazo ukikumbuka unajuta hasa kwa nini kanifanya ... unatamani urudishe nyuma huwezi .. its normal

Hii ya kujuta na kulia na kuwaza kama umechezewa ni concept ngeni sana kwangu. Sielewi! Ni kwamb ou were coerced into sexa ama ulisex uki expect mengi ama majuto na kilio hutokana na nini.

From my understanding and experience sex is meant to be enjoyable and safe between two equal parties.
 
Aisee, ai wish nikule nione kilio chako....
 
unalia au unatoa machozi? kwa nini baada ya kubanjuliwa na sio wakati wa kubanjuliwa? Sleeping allowance huwa unapewa baada ya tendo au kabla?

kwani kutoa machozi kunaitwaje? sijamaanisha kulia kwa miguno ya utamu, kulia kwa kutoa machozi kabisa, na si kwamba naumia ndo nilie, no! machozi yanakuja tu yenyewe....
 
kwani kutoa machozi kunaitwaje? sijamaanisha kulia kwa miguno ya utamu, kulia kwa kutoa machozi kabisa, na si kwamba naumia ndo nilie, no! machozi yanakuja tu yenyewe....

hamna kitu nainjoi kama kubembeleza mrembo anaelia kama wewe belie sasa sijui.....
 
Last edited by a moderator:
ohooo ujue ndo baba watoto huyo hahaha mimi sina tatizo kama hilo na sijawahi kusikia kwa kweli pole
hahahahhahah..... basi umwambie awe anafikiria kwanza kabla ya ku comment, thx mwaya
 
AFADHALI YA WEWE, HIYO NI NORMAL, KUNA WANAUME KILA AKI-JACULATE ANATOA NA KIPANDE KIGUMU CHA MAVI, yeye anajisikia amani sana.
 
AFADHALI YA WEWE, HIYO NI NORMAL, KUNA WANAUME KILA AKI-JACULATE ANATOA NA KIPANDE KIGUMU CHA MAVI, yeye anajisikia amani sana.

mweh! umejuaje au ni wew? huyo inabidi awe anafanyia chooni.... tena kama hana choo cha kukaa anunue ili asipate tabu, akiwa anataka kumaliza anakaa tu pale then gal anakaa juu yake anadabodisha.... hahahhhaah mbele na nyuma
 

Yaelekea hujatulia..."tatizo huisha nikishamzoea"...Unao wangapi?
 

Dawa yake ndogo tu: Acha kubadilisha boyfriends mara kwa mara. Ukilia mara moja ndani ya miaka kama mitatu sioni ubaya wake.
 
Unalia yaani machozi kabisa au?
Ni unakua unajutia ulichofanya?

Tafuta mume
hihi ni mwana mume ndo anatafuta mke au mwanamke ndo anae tafuta mume?....hapa nahitaji ufafanuzi zaidi mkuu hivi ni yupi mwenye jukumu la kumtafuta mwingine??
 
...kama kidume najisikia waaaah!!!
That's a sign of banging the door of next level!
 

Kwaiyo mnapokuwa pamoja na mkajikuta wote mnahamu ya kupeana raha je,huwa hauwazi kuhusu tatizo lako hilo au ukimaliza tu ndiyo unajikuta unaanza kulia?maana wengine tatizo lao hulia sauti za wanyama wapofanya mapenzi ila wanakuwa hawajitambu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…