MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,660
- 41,812
Atakuwa yupo chooni anajisaidia. Tuvute subira
vip unaweza kubana mavi ??
Atakuwa yupo chooni anajisaidia. Tuvute subira
Atatoa wqpi hizo updates ilhali yeye yupo Kinondoni kwenye keyboard? Sana sana atakachoweza ni kuwapa habari zilizoripotiwa kupitia Mlimani TV
Umesahau Mzee tupa tupa ndiye aliyekufungulia hii id yako hapa JF wewe mama Elizaboni?Atakuwa yupo chooni anajisaidia. Tuvute subira
Jina halisi la tupa tupa ni lp?
Umesahau Mzee tupa tupa ndiye aliyekufungulia hii id yako hapa JF wewe mama Elizaboni?
Atakuwa yupo chooni anajisaidia. Tuvute subira
Atakuwa yupo chooni anajisaidia. Tuvute subira
Mzee tupa tupa wa Lumumba ulituaga hapa juzi kuwa unaenda Dodoma kwenye mkutano wa ccm na ulituahidi kuwa utakuwa unatupa updates lakini hadi sasa kimya! Kulikoni VUTA-NKUVUTE
Kinondoni kufanya nini wakati ni kada mkongwe wa ccm Lumumba! Mbona mnambagua mwenzenu! Nahisi akiweka jina lake halisi mtamnyang'anya kadi na kumshughulikia mabwepande!
Cc MUSSA ALLAN
Teh Teh angekuwa ni wa Lumumba wala asinge sema humu...yeye ni kada wa chadema na ni msaka ubunge
Mpo wote kwenye foleni ya kwenda toi...
Tupa tupa ni mnafiki fulani, ambaye ni kada mwaminifu wa CHADEMA anayejifanya mwanaCCM.Kinondoni kufanya nini wakati ni kada mkongwe wa ccm Lumumba! Mbona mnambagua mwenzenu! Nahisi akiweka jina lake halisi mtamnyang'anya kadi na kumshughulikia mabwepande!
Cc MUSSA ALLAN
Tupa tupa ni mnafiki fulani, ambaye ni kada mwaminifu wa CHADEMA anayejifanya mwanaCCM.
Mnapenda wanawake nyie! Ndio maana Kesi za ugoni haziishi CHADEMA, LIZABONI ni jina la sehemu fulani.!!!Kumbe Lizaboni ni mwanamke anaitwa Eliza Boni! Ha ha ha! Duh!
Sisi tunamfahamu, ni bora ungefunga domo lako!Acheni kupiga ramli!
Mnapenda wanawake nyie! Ndio maana Kesi za ugoni haziishi CHADEMA, LIZABONI ni jina la sehemu fulani.!!!
CHADEMA mnapenda sana habari za ufuska!
Mie najua kifupi chake ni P M.Jina halisi la tupa tupa ni lp?