ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
Kila la heri mzee tupatupa!
Hivi wewe ni mwehu? Unawezaje kuingilia kati maongezi ya watu usio wafahamu na kuropoka ujing aujinga bila haya?
Yeye kasema anakuja Dodoma, halfu wee unaleta upumbavu wa kijuha tu. Kama huna la kufanya si unywe sumu ufe?
Na,fahamu vema yena mpaka nyumba anayokaa. Nipo Dar kwa sasa na najua majukumu yake ya kila siku. PM hatusumbui
Viongozi wa CCM waliwaaminisha Watanzania kuwa CCM ina HAZINA YA VIONGOZI WASAFI (Ref Sitta, Kikwete, Mkapa, Kinana, Nape etc)
Kama kweli CCM ina HAZINA YA VIONGOZI mimi nilitegemea CCM ingepata wakati mgumu kumchagua mgombea wao wa Urais kutoka kwenye hazina ya viongozi wake.
Lakini kinachoonekana sasa hivi CCM ina wakati MGUMU kumpata mgombea wao wa kiti cha Urais. Iweje chama chenye hazina ya viongozi ki struggle kumpata mgombea Urais.
Nasikia sasa hivi CCM wanafikiria kumbembeleza Mchungaji Augustine Ramadhani former CJ agombee urais kwa tiketi ya CCM
Sijui akikata itakuwaje kwa CCM, labda watakwenda sasa kwa Mwadhama Kardinali Polycap Pengo!. Stay tuned ndugu Mtanzania
Ajenda zitakuwa mbili: Kura ya Maoni na Uchaguzi Mkuu 2015. Wana-JF mtakuwa wa kwanza kujua kitakachojiri huko Dodoma. Tarehe ya kikao mtajulishwa muda si mrefu.Nimejiandaa kufuatilia kila hatua na kuwajulisha. Mbaki salama na Dar es Salaam yetu.
CCM ni mipango yenye viwango!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini kwenda Dodoma)
Ninakutakia safari njema usisahau kuniletea kashati ka kijani kwani huu ndio mda wa kipindi cha uchaguzi ni wakati mwafaka wa kupata mgao wa mashati ya kijani,vitambaa vya kijani na kanga za kijani.
Sipati picha siku wenye chama wakikutambua
Yapo Lumumba yanayouzwa ya sampuli mbalimbali. Mwaka huu yanauzwa
Mzee Tupatupa
Petro E. Mselewamimi na petro mselewa tutakuwepo
Atakuwa yupo chooni anajisaidia. Tuvute subiraVUTA-NKUVUTE unaitwa huku
Atatoa wqpi hizo updates ilhali yeye yupo Kinondoni kwenye keyboard? Sana sana atakachoweza ni kuwapa habari zilizoripotiwa kupitia Mlimani TV
kuwa na staha basi hata kama ukadaAtakuwa yupo chooni anajisaidia. Tuvute subira
kuwa na staha basi hata kama ukada