Hahaha nimecheka sana. Dada
FaizaFoxy, mfungo mwema. Nafurahi wanao wamekutembelea. Huwa sisahau unavyomuitaga mumeo gozi sijui gome? I can imagine. Mie sina hata hamu ya mwaliko wa futari kwako, manake dera siwezi kuvaa kabisaa (miguu itawasha kama ya lulu wa kanumba hehehe)
Enjoy family time, ukija mjini usitusahau nazi na mihogo