Chibike
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 4,896
- 7,522
Mwanangu hata sijui uko wapi kama uko hai ama vipi, na haya masekeseke yaliyotokea , tuliachana ulikua kwenye harakati za uchimbaji madini mgodi wa mwime kahama ulikua unapambana kweli kutafuta wadau wakupe tafu mmalizie muingie zone ya madini chini, ukapotea gafla mwanangu. ..
Je uko Salama? Naamini uko Salama na pia ulifanikiwa ama ulishatoboa mwanangu kua bilionea kama chiefgodlove 😂😂😂 hii nickname yako ukiisoma utajijua ni wewe na utajua ni nani anaekuulizia 🤗 nicheki mwanangu kama upo humu.
Nashauri Active , Payge mtuwekee jukwaa maalum la kutafuta ndugu zetu marafiki zetu ambao tumepotezana nao liwe mahususi kwa ajili ya mtu kuleta taarifa yake ya kumtafuta ndugu jamaa ama rafiki aliepotea. Asante.