Jinsi rafiki yangu anavyotajirika kama utani tu

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,042
Siku zote wanasema Mungu akifungua riziki zako
Akuna wakuzuia

Na riziki ya mtu ni popote tu
Nina rafiki yangu kwasasa na muona baada ya miaka kazaa mbele jamaa yangu anaweza kuwa milionea tu mzuri sio wa shilling wa dollars

Huyo rafiki yangu mwezi wa 8 alipost dawa fulani za nguvu za kiume kutoka Tanzania sijui ni dawa gani sio vumbi la Kongo ni nyingine tu ambazo una koroga ndani ya chai alafu unakunwa

Huyo rafiki yangu alavyo post dawa hizo kuzileta uku Canada kwa bahati nzuri zikafika salama
Jamaa akanipa taarifa mimi kama rafiki yake Nikaona hii ndo fursa ya kuwakomesha hawa watoto wakizungu na weusi nikaenda kuchukuwa dawa kwake yeye alinipa kwa bure baada ya kupata dawa hiyo rafiki yangu mmoja hivi wakizungu siku moja akaona na kunwa chai ya dawa hiyo akauliza kama nakunwa nini maana dawa hiyo ni chungu saana sasa aliona ninavyo finya sura nikimeza dawa hiyo nikampa tu ukweli cha ajabu na yeye akaomba nikampa alikwenda kujaribu uko jamaa akafurahia dawa hiyo akataka tena ni mpe na nyingine tena

Nikasema sina nikamwambia kuwa nina rafiki yangu mwingine ambaye anayo dawa hiyo ila Nikasema kama utani tu kuwa unatowa kwa pesa jamaa akasema nipo tayari kutowa pesa ili nipate dawa hiyo

Nikamtuma kwa huyo rafiki yangu
Nikamwambia jamaa kuwa huyu mzungu anataka dawa hiyo atakupa pesa mara ya kwanza jamaa akawa amepaniki kwanini na ambia watu nikampa tu ukweli. jamaa akakubali kutowa dawa kwa dollars 300$ za Canada alitowa vijiko 4 tu kwa dollars 300$ kumbe yule mzungu akaenda kuambia wenzake na wale wazeke nao wakambia wenzao sasa wote ndo wamejaa kwa huyo rafiki yangu

Jamaa sasa amefanya hiyo kuwa fursa amepost nyingi kutoka Afrika wazungu wengi na watu weusi wameweka order dawa ikifika tu wanapewa

Jana nilikuwa kwake kuna ambao walikuwa wanaacha dollars 1000$ ili mzigo ukifika tu wanapewa

Mpaka mimi nashangaa tu jamaa kaanza kupata pesa kama utani tu

Kwa ufupi mimi sitafuti wateja au kutepeli watu maana naona kuna watu wameanza kusema mimi nitapeli

Hii ndo shida ya watanzania anaye wapa ukweli ndo uonekana muongo na anaye wadanganya ndo uonekana mkweli
Basi changamkeni kama ndugu zetu wakenya

Ila nataka tu kuwapa ukweli kuwa kuna watu wanajua dawa hizo za ukweli na wakitumia fursa zao vizuri kutafuta wateja nje ya nchi wanawaza kupata faida
Kama huyo rafiki yangu yeye utakuta uko anachukuwa dawa hiyo kwa bei raisi ikifika uku yeye anapata faida kubwa zaidi

Na sio dawa tu vitu vingi
 
Ndio maana hizi channel za tv huwezi kuziona kwenye ving'amuzi vya nyumbani na hata DStv zimo kwenye package ya hela nyingi: National Geographic channel, History Channel nk.
Mleta mada ungekuwa umewahi kuangalia baadhi ya makala za Geographical Channel ukaona ilivyo shughuli pevu kuingiza chakula chochote hata majani ya chai kwa nchi za wenzetu hasa Canada, USA, nk usingekuja na hadithi zako za uongo hapa!
Mimi sijawahi kuvuka hata Namanga ika kupitia tv nimejifunza mengi kuhusu wenzetu wanavyolinda nchi zao na watu wao.
 
utapeli gani
Mimi nitakutapeli nini wewe
Au unaona mimi na sema kuwa natafuta wateja au ila nataka kuwapa fursa kwa wale wenye dawa za kweli za nguvu za kiume kwenye hizi nchi za wazungu wanaweza kupata faida nzuri

Acha utapeli wa kijinga dogo. Hakuna dawa za kienyeji zinaingia huko nje kama usemavyo bila kibali. Hata kuandika kwa ufasaha tu hujui ndio utamtapeli nani? Mjinga kabisa.
 
Ndio maana hizi channel za tv huwezi kuziona kwenye ving'amuzi vya nyumbani na hata DStv zimo kwenye package ya hela nyingi: National Geographic channel, History Channel nk.
Mleta mada ungekuwa umewahi kuangalia baadhi ya makala za Geographical Channel ukaona ilivyo shughuli pevu kuingiza chakula chochote hata majani ya chai kwa nchi za wenzetu hasa Canada, USA, nk usingekuja na hadithi zako za uongo hapa!
Mimi sijawahi kuvuka hata Namanga ika kupitia tv nimejifunza mengi kuhusu wenzetu wanavyolinda nchi zao na watu wao.
Uko ulaya mbali mno mimi kusafirisha dawa za asili tu kutoka dar to jorbug ni mtiani naonga askali mbka nachanganyikiwa
 
Ndio maana hizi channel za tv huwezi kuziona kwenye ving'amuzi vya nyumbani na hata DStv zimo kwenye package ya hela nyingi: National Geographic channel, History Channel nk.
Mleta mada ungekuwa umewahi kuangalia baadhi ya makala za Geographical Channel ukaona ilivyo shughuli pevu kuingiza chakula chochote hata majani ya chai kwa nchi za wenzetu hasa Canada, USA, nk usingekuja na hadithi zako za uongo hapa!
Mimi sijawahi kuvuka hata Namanga ika kupitia tv nimejifunza mengi kuhusu wenzetu wanavyolinda nchi zao na watu wao.
Upo sahihi...
CHAKULA CHA AINA YOYOTE AKIRUHUSIWI ULAYA,MAREKANI,CANADA
boarde control

Huruhusiwi hata nyoya la kuku
 
Sijasoma uzi ila mtoa mada....
Sema unauza wewe sio rafiki yako😂
 
canada uuze dawa za asili pasipo vibali?
usilolijua ni kwamba hao jamaa wanasheria kali mno kwenye masuala ya bidhaa na dawa dawa toka nje
 
Siku zote wanasema Mungu akifungua riziki zako
Akuna wakuzuia
Na riziki ya mtu ni popote tu
Nina rafiki yangu kwasasa na muona baada ya miaka kazaa mbele jamaa yangu anaweza kuwa milionea tu mzuri sio wa shilling wa dollars
Huyo rafiki yangu mwezi wa 8 alipost dawa fulani za nguvu za kiume kutoka Tanzania sijui ni dawa gani sio vumbi la Kongo ni nyingine tu ambazo una koroga ndani ya chai alafu unakunwa

Huyo rafiki yangu alavyo post dawa hizo kuzileta uku Canada kwa bahati nzuri zikafika salama
Jamaa akanipa taarifa mimi kama rafiki yake Nikaona hii ndo fursa ya kuwakomesha hawa watoto wakizungu na weusi nikaenda kuchukuwa dawa kwake yeye alinipa kwa bure baada ya kupata dawa hiyo rafiki yangu mmoja hivi wakizungu siku moja akaona na kunwa chai ya dawa hiyo akauliza kama nakunwa nini maana dawa hiyo ni chungu saana sasa aliona ninavyo finya sura nikimeza dawa hiyo nikampa tu ukweli cha ajabu na yeye akaomba nikampa alikwenda kujaribu uko jamaa akafurahia dawa hiyo akataka tena ni mpe na nyingine tena Nikasema sina nikamwambia kuwa nina rafiki yangu mwingine ambaye anayo dawa hiyo ila Nikasema kama utani tu kuwa unatowa kwa pesa jamaa akasema nipo tayari kutowa pesa ili nipate dawa hiyo
Nikamtuma kwa huyo rafiki yangu
Nikamwambia jamaa kuwa huyu mzungu anataka dawa hiyo atakupa pesa mara ya kwanza jamaa akawa amepaniki kwanini na ambia watu nikampa tu ukweli. jamaa akakubali kutowa dawa kwa dollars 300$ za Canada alitowa vijiko 4 tu kwa dollars 300$ kumbe yule mzungu akaenda kuambia wenzake na wale wazeke nao wakambia wenzao sasa wote ndo wamejaa kwa huyo rafiki yangu
Jamaa naye sasa amefanya hiyo kuwa fursa amepost nyingi kutoka Afrika wazungu wengi na watu weusi wameweka order dawa ikifika tu wanapewa
Jana nilikuwa kwake kuna ambao walikuwa wanaacha dollars 1000$ ili mzigo ukifika tu wanapewa

Mpaka mimi nashangaa tu jamaa kaanza kupata pesa kama utani tu

Kwa ufupi mimi sitafuti wateja au kutepeli watu maana naona kuna watu wameanza kusema mimi nitapeli

Hii ndo shida ya watanzania anaye wapa ukweli ndo uonekana muongo na anaye wadanganya ndo uonekana mkweli
Basi changamkeni kama ndugu zetu wakenya

Ila nataka tu kuwapa ukweli kuwa kuna watu wanajua dawa hizo za ukweli na wakitumia fursa zao vizuri kutafuta wateja nje ya nchi wanawaza kupata faida
Kama huyo rafiki yangu yeye utakuta uko anachukuwa dawa hiyo kwa bei raisi ikifika uku yeye anapata faida kubwa zaidi

Na sio dawa tu vitu vingi
Unaitaji dawa ya nguvu za kiume
 
LIPIA TANGAZO
 
Hata kama mtu hutaki kutukana, lakini inakuwa vigumu....
 
Hahaaa na zile habari za yanga unaziandikiaga ukiwa canada?
 
Wamekushambulia sana mkuu, acha mimi nije pm hata kukupa salamu na kuuliza bei ya bidhaa yetu.
 
Back
Top Bottom