Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,221
- 2,801
Mkuu umechanja..?Nawewe funga duka weka kibanda mbele yake shida nini?
Mkuu umechanja..?Nawewe funga duka weka kibanda mbele yake shida nini?
Uharibifu wa mazingira unafanywa na wafugaji, wachimba madini na wachoma mkaaUlivyomalizia hoja yako, inaonekana kuna kitu kimepungua kichwani.
Uharibifu unaosababishwa na machinga, ulikuwa unasubiri apatikane kiongozi mkweli wa nafsi na mwenye akili, japo ya kawaida tu, kuja kuusimamisha.
Machinga, kama watanzania wengine, wana haki ya kufanya biashara, lakini siyo kwa namna chafu kama ya sasa.
Machinga ni zao la umaskini uliokithiri wa nchiMachinga ni zao la wanasiasa uchwara
Bar ni starehe ya kihuni, ambayo wengi wanahitaji utulivu na kufanya mengine ya siriSehemu ilipo hii bar hakuna mtu angetegemea kama ingejaza watu,imejificha mno Wala hakuna njia yeyote inayopita Tena imefichwa mno.Lakini wateja wanaifuata wait wenyewe nyomi Kama lote
Sera mbovu za ccm kushindwa kuwaunganisha vijana waone fursa zinazowazunguka Ili wajikwamue.Kazi ya tisi ni kuisaidia ccm iibe kura,kudukua simu za Mbowe,membe.tisi wa wenzetu wao wapo bize kudukua fursa za kiuchumi za nchi zingine Ili vijana wao wakaibe walete nchini mwao.Machinga ni zao la umaskini uliokithiri wa nchi
Nchi ipambanie maendeleo, tatizo la machinga litajiondoa lenyewe
Tuone atakavyo lishukulia, maana kwa kweli hawa watu wanahatarisha maisha yetu. Inabidi tupishane na magari barabarani.Nakupongeza RC wa DSM kwa ujasiri wa kuliona hili la wamachinga kuziba njia za wapita kwa miguu, kujenga vibanda kwenye mitaro na road reserve. Serikali mlikuwa wapi hawa wamachinga ni watu waliokuwa wamekosa mtu wa kuwaambia na wakajiona wako juu ya sheria
Athari za wamachinga ni kubwa sana kwa serikali.
1: kuhatarisha usalama na foleni
Hakuna nafasi kupita njia zote zimezibwa ni hatari kwa usalama .ajali za mwendokasi na msongamano inasababisha foleni.
2:Upikaji holela ni hatari kwa usalama na uharibifu wa mazingira
Kila kona watu wanapika hii si sawa.
3, upotevu wa mapato ya serikali , machinga wengi hawalipi kodi na wanaziba maduka ya wafanyabiashara wakubwa na walipa kodi na hivyo kusababisha hata wafanyabiashara wakubwa kuanza kuwatumia wamachinga.
4: kuharibika kwa mandhari ya Mji wa kibishara Dar es salam kuanzia airport mpaka unakaribia Ikulu ni uchafu tu vibanda vya kila sampuli
Hiii itapunguza idadi ya watalii kwasababu mtu akiangalia Mjin ulivyomchafu na bughudha za wamachinga hAwezi kurudi tena na jitihada za Rais kuitangaza Tanzania hazitafanikiwa kama mfumo huu wa kuwaachia machinga kujenga vibanda kila mahali na kuharibu mazingira.
Ninakupongeza Rc Makalla ni muda sasa wa kutekeleza tamko lako na kwa ujasiri wako naamini unaweza ukarejesha heshima, mandhari ya DSM.
Umeona eeh, alafu wanasababisha na wapita njia pia kugongwa, tufike pahala turudie enzi za Kikwete,huyu JIWE siasa zake zimeharibu sana nchi.Kituo cha Daladala mlimani City Kama mara mbili hivi machinga wanakufa kwa kugongwa na magari.Siku nyingine ni Bahati tu machinga alikuwa katoka kwenye kibanda chake cha vifaa vya simu lkn alikuwa anapoteza màisha maana Gari ilisomba kibanda chote
Tuwe na pakuwapeleka? Kwani walitoka wapi? Warudi huko walipotokaHao machinga muhakikishe kwanza mna pa kuwapeleka tusije tukanza kukabana tu uswahilini!
watembee-tembee huko njiani wakinadi bidhaa zao bila kubugudhi watu, ndiyo maana halisi ya machinga.Tuwe na pakuwapeleka? Kwani walitoka wapi? Warudi huko walipotoka
Maegeshk yote wametwaa narungkmbena aggregate wamechukuaUlivyomalizia hoja yako, inaonekana kuna kitu kimepungua kichwani.
Uharibifu unaosababishwa na machinga, ulikuwa unasubiri apatikane kiongozi mkweli wa nafsi na mwenye akili, japo ya kawaida tu, kuja kuusimamisha.
Machinga, kama watanzania wengine, wana haki ya kufanya biashara, lakini siyo kwa namna chafu kama ya sasa.
Nasita kupongeza kwa haraka! Tuone kwanza kama ataweza kuutafuna mfupa uliomshinda mzee Makamba na kijana Bashite!! Mfupa huo unahusisha:[QUOTE="Skyway, post:
Nakupongeza RC wa DSM kwa ujasiri wa kuliona hili la wamachinga kuziba njia za wapita kwa miguu, kujenga vibanda kwenye mitaro na road reserve. Serikali mlikuwa wapi hawa wamachinga ni watuKINARA waliokuwa wamekosa mtu wa kuwaambia na wakajiona wako juu ya sheria