Nakupongza RC Makalla kwa tamko la wamachinga kuiziba njia na kufanya biashara holela kwenye hifadhi za barabara

1. Wanakuzibia njia unaenda wapi? Hao wateja wanaonunua bidhaa za machinga wanapita wapi? Wewe ni Rais ukitaka kupita tukupishe njia?

2. Tangu machinga waruhusiwe umeshasikia kipindupindu dar? Huo usalama upi unaozungumzia?

3.kodi ipi halipi? Hizo tozo za miamala ya mpesa bado tu haiwatoshi? Hakuna machinga anaefata mzigo China ina maana walio import walilipa kodi stahiki mnataka nini tena.

4. Eti mandhari ya mji! We vipi? Mandhari yako nzuri ni ipi? Mandhari nzuri iko ngorongoro na serengeti, sisi hao machinga mamalishe ndio mandhari nzuri, na Kama kwako ni kero nenda mlimani City kanunue huko huku karakoram unafuata nini? Shenzi kabisa

acha zako mpumbavu wewe huna macho ukaona watu wanavyoteseka kwa kupita barabarani halafu unakuja kusapoti ujinga
 
Mnapowajengea kuna wateja? Au ilimradi tu umtoe mtu kariakoo umuhamishie kimbiji? Hamna mtu atakubali hilo
itabidi wakubali tu. maana wamezagaa kila mahali. hamna mtu anakataa kufanya biashara lakin ifanywe kwa mpangilio. si kwa kuzagaa mpaka maeneo ambayo hayaruhusiw kufanya biashara
 
Kama upo,Unaijua Bar ya Mawasiliano Park ilipo? Pale ilipo ulitegemea itajaza wateja? Lkn mbona wateja nyomi? Hata machinga hivohivyo wapelekwe maeneo mengine mwanzoni itakuwa kazi lakini badaye itazoeleka tu
Nop mkuu ntaifatilia niijue ilipo!
 
1. Wanakuzibia njia unaenda wapi? Hao wateja wanaonunua bidhaa za machinga wanapita wapi? Wewe ni Rais ukitaka kupita tukupishe njia?

2. Tangu machinga waruhusiwe umeshasikia kipindupindu dar? Huo usalama upi unaozungumzia?

3.kodi ipi halipi? Hizo tozo za miamala ya mpesa bado tu haiwatoshi? Hakuna machinga anaefata mzigo China ina maana walio import walilipa kodi stahiki mnataka nini tena.

4. Eti mandhari ya mji! We vipi? Mandhari yako nzuri ni ipi? Mandhari nzuri iko ngorongoro na serengeti, sisi hao machinga mamalishe ndio mandhari nzuri, na Kama kwako ni kero nenda mlimani City kanunue huko huku karakoram unafuata nini? Shenzi kabisa
Unauliza maswali ya kijinga.
 
acha upumbavu wewe, nyie ndio wale mnakula na kunya hapo hapo kama ngombe.
Maisha lazma yapangiliwe.
Kwenye road reserve imejengwa kwajili ya gari likipata dharura, wewe mpumbavu unatala hiyo njia iwekwe genge la sumu za panya?
Wewe unataka ule wali maharage juu ya mtaro pale msimbazi wa mavi yanayovujishwa na wanaoishi kwenye magorofa?

Unataka kununua nyanya zzilizopzngwa kariakoo chini huku maji taka yakiririka na wauzaji kutojali?
 
Kituo cha Daladala mlimani City Kama mara mbili hivi machinga wanakufa kwa kugongwa na magari.Siku nyingine ni Bahati tu machinga alikuwa katoka kwenye kibanda chake cha vifaa vya simu lkn alikuwa anapoteza màisha maana Gari ilisomba kibanda chote
 
acha zako mpumbavu wewe huna macho ukaona watu wanavyoteseka kwa kupita barabarani halafu unakuja kusapoti ujinga
How's bado iko palepale nini kinachokupeleka kariakoo? Hauna njia mbadala ya kupata mahitàji yako? Machinga anakuzuiaje? Je unauhakika mtaani kwako hamna uchazo kuliko huo wa kariakoo?
 
Siku magaidi wakitumia vibanda vya wamachinga Kama maficho kuzuru viongozi au Raia msianze kulalamika.Wamachinga wamevuka mipaka aiseeee.Bora wamachinga wa zamani walikuwa wanabeba vitu na kutembea navyo,ila Toka waruhusu kujenga mabanda imekuwa shiiida tupu
Afghanistan Kenya US UK hao magaidi walitumia vibanda vya machinga? Pale ubalozi wa us wao jamaa walijibanza kwenye kibanda cha machinga?
 
Back
Top Bottom