steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 11,479
- 13,677
My dia, nimeumizwa sana. So nayachukia sana mapenzi
pole sana dia,achana na kabaang,hamia yatosha huku kwangu,hutajuta kamwe!
My dia, nimeumizwa sana. So nayachukia sana mapenzi
Ha ha ha ha.na unaichukuliaje hii? By the way Je sio kweli kwamba wakati tu wadogo wazazi wetu walikuwa wanatuambi Husninyo nakupenda mwanangu? Bado wanakuambia?
mimi wazazi wangu hawajawahi kuniambia ila malezi yao yalionesha kama yana upendo ndani yake. Mabazazi tu ndio wananiambia wananipenda ili wapate 'downstairs'. Lol
Nakukunda - Kichaga
Nakukundya - Kipare
Ndagukunda - Kinyarwanda/Kirundi
Ngughanile - Kinyakyusa
Wo ai ni - Kichina
I love you - Kiingereza
Te Amo - Kihispaniola
Yan mtu akiniambia ananipenda, najickia kufakufa tu.
Hahahahaha anakukosea nidhamu nini?
Nakukunda - Kichaga
Nakukundya - Kipare
Ndagukunda - Kinyarwanda/Kirundi
Ngughanile - Kinyakyusa
Wo ai ni - Kichina
I love you - Kiingereza
Te Amo - Kihispaniola
This is so huge my dear.lakini mtu anaweza kukuambia anakutamani? Achana na yale mambo ya priced business.
ilibidi nifanye hivyo mkuu ili nipate kile nilichokuwa nakihitaji by that time, ila nilikuwa nipo na binti mmoja kwa muda ule kweli na siunawajua hawa dada zetu wanavyopenda kuambiwa wanapendwa jamani?????????????now now? kwa nini haumpendi? na kwa nini umdanganye, kakulazimisha umuambie unampenda?
Yan mtu akiniambia ananipenda, najickia kufakufa tu.