Hivi unapomuambia mtu unampenda huwa unamaanisha nini hasa?
Hivi unapomuambia mtu unampenda huwa unamaanisha nini hasa?
Inategemea unaongea na jinsia ipi, kama ni tofauti na ya kwako basi nikwamba unategemea kupata k, kama ni jinsia sawa na ya kwako na kama wewe humo kwenye mtandao wa 'david cameron' basi ni kwamba umependezwa nae, kama ni ndugu au rafiki wa karibu au mfanyakazi mwenzio...
Upendo inamaanisha a million things. Ila mtu akiniambia ananitamani, aisee nakasirika kama nini (unless na mie namtamani teh)