Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,321
- 201,543
Uwezekano haupo my friend
Upo mwingi sana
Uwezekano haupo my friend
Hahahaha! Ndio nataka nielekee church ujue


church gani saa nne hii lohSawaUpo mwingi sana
Misa ya mwisho naiwahichurch gani saa nne hii loh
Juzi nimemuona yule binti mkuuUpo mwingi sana
Okey okeynenda utakuja uniambie ulichojifunza
Ndiyo unampenda na yeye hakupendi kimapenzi. Kwanini usikubaliane na hali na urafiki wenu ukaendelea.?
Hawa viumbe ni wa ajabu.
Nina mtu alikuwa rafiki yangu tuu, ghafla akanitongoza nikakataa.
Basi kaninunia hamna hata salamu.
Sijui wana shida gani kazi kuwaza ngono tuu.














Mwanaume unajiita cute Cindy daahWanawake acheni kujifanya hamnazo, ingekuwa ww ungeweza vumilia kuendeleza urafiki tu na mwanaume unaempenda, ilhali huyo mwanaume hakupendi..
Sana sana wengi wenu mkionesha ishara za kupenda hlf mkihisi kukataliwa kimapenzi na mwanaume, mnaanza kumchukia huyo mwanaume Baby Doll
Mkuu wewe ni mwanaume? Sorry lakinWanawake acheni kujifanya hamnazo, ingekuwa ww ungeweza vumilia kuendeleza urafiki tu na mwanaume unaempenda, ilhali huyo mwanaume hakupendi..
Sana sana wengi wenu mkionesha ishara za kupenda hlf mkihisi kukataliwa kimapenzi na mwanaume, mnaanza kumchukia huyo mwanaume Baby Doll
Piga chini hafai anakuletea giza tu hapo utakosa madem wengine wakidhani huyo ndio demu wakoKuna demu ananishobokea sana, ila kila nikimgusia maswala ya mapenzi anabadilika kama chui..
Yani tukikaa week hatujaonana, basi siku akiniona anachangamka anani-hug na mabusu mengi mengi ... Yani hapa ndio nina data kabisa.. Tatizo ni moja tuu "hataki maswala ya mapenzi"
Kila siku kuniletea vizawadi na kunishukuru et hajawai kutana na rafiki wa kweli kama mimi.
Ni mwaka wa pili sasa naingiza gia lakini haingii kwenye line, mbaya zaidi kuna siku kanitongozeshea rafiki yake makusudi kabisa.. Anasema hapendi kuniona mpweke.... ila mimi simtaki rafiki yake namtaka yeye
Kiukweli naona ni bora kukatisha urafiki kabisa ili nisimuone ....

Wanawake acheni kujifanya hamnazo, ingekuwa ww ungeweza vumilia kuendeleza urafiki tu na mwanaume unaempenda, ilhali huyo mwanaume hakupendi..
Sana sana wengi wenu mkionesha ishara za kupenda hlf mkihisi kukataliwa kimapenzi na mwanaume, mnaanza kumchukia huyo mwanaume Baby Doll
Hakuna mwanaume anatafuta rafiki wa kike ukiona anajisogeza kwako ujue anahitaji kuwa na we kimapenzi na sio urafiki
The truth is hakuna urafiki wa kweli katu ya mwanaume na mwanamke. Unless huyo mwanaume ana mtu wake lakin kama ni single hilo halitafanikiwaHapa tuu wanaume ndiyo huwa wananishangaza.
Kwani hamna uwezekano wa kuwa rafiki na mwanamke bila kumtongoza?
Na akikataa kwanini u rafiki usiendelee?
Juzi nimemuona yule binti mkuu